Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wakati huna mbele wala nyumaHongera, huo wimbo utadhani ulishuka toka kwa malaika wa Mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huna mbele wala nyumaHongera, huo wimbo utadhani ulishuka toka kwa malaika wa Mbinguni
Jana kwenye uzinduzi hatukuona wala kusikia ccm mbele kwa mbele .Sasa hivi tunaongerea uchaguzi wa serikali za.mitaa! Saccos.wameingia mitini mwaka kesho ndiyo kabisaa wenye saccos wanagawa mali zao sijui utahamia wapi??
[emoji3]Na bado, hata wakiuacha wimbo maumivu yapo palepale
Kigogo2014 atakuwa ndiye aliyekupa hizo taarifa. Kitu alichosahau Kigogo2014 kukijua ni kwamba kila mwaka wa uchaguzi CCM huja na kibao mujarab kwa ajili ya uchaguzi husika.Chanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani waliolengwa , na hivyo kuondoa morali wao wa kushiriki shughuli za chama , hivyo imependekezwa kibao hicho kikali kisitumike kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020
Wanaccm wengi wanalalamikia ubeti unaotaja watu " KUISOMA NAMBA " huku wakitolea mfano wa wanaccm nguli kama Zakaria , Manji , Monaban na wengine chungu mzima akiwemo Antony Diallo aliyejitolea TV yake kuonyesha kampeni za ccm tu , kiasi cha kukiuka hata maadili ya TCRA , kitu kilichosababisha Mungu kuitandika laana ya mishahara kampuni yake hadi kukimbiwa na wafanyakazi , watu hawa waliosomeshwa namba wamekuwa mfano hai wa udhalilishaji wa wafadhili wa ccm unaoimbwa kwenye ubeti wa wimbo huo, jambo linaloonekana kama ni kudhalilisha wanachama wote nchi nzima
Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kwa kadri mtoa taarifa wetu atakavyoendelea kuvujisha siri zao
......Itaendelea hivi karibuni .
Kwa hiyo wimbo ndio kura?Chanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani waliolengwa , na hivyo kuondoa morali wao wa kushiriki shughuli za chama , hivyo imependekezwa kibao hicho kikali kisitumike kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020
Wanaccm wengi wanalalamikia ubeti unaotaja watu " KUISOMA NAMBA " huku wakitolea mfano wa wanaccm nguli kama Zakaria , Manji , Monaban na wengine chungu mzima akiwemo Antony Diallo aliyejitolea TV yake kuonyesha kampeni za ccm tu , kiasi cha kukiuka hata maadili ya TCRA , kitu kilichosababisha Mungu kuitandika laana ya mishahara kampuni yake hadi kukimbiwa na wafanyakazi , watu hawa waliosomeshwa namba wamekuwa mfano hai wa udhalilishaji wa wafadhili wa ccm unaoimbwa kwenye ubeti wa wimbo huo, jambo linaloonekana kama ni kudhalilisha wanachama wote nchi nzima
Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kwa kadri mtoa taarifa wetu atakavyoendelea kuvujisha siri zao
......Itaendelea hivi karibuni .
Ngoja tuwakumbushe wanaLumumba wimbo wao wasiotaka kuusikia kipindi hiki cha kuisoma namba, shukrani zimwendee mtunzi Capt. John Komba RIP kada wa CCM
STAR TV imekuwa ya MTOZI NYANDA, yaani hamna kitu pale na mtozi akiondoka inakufa kabisaChanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani waliolengwa , na hivyo kuondoa morali wao wa kushiriki shughuli za chama , hivyo imependekezwa kibao hicho kikali kisitumike kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020