Uchaguzi 2020 CCM kuwaengua baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha kumewaongezea umaarufu maradufu wagombea hao

Haya wamerudishwa Wakurugenzi wamebaki walewale nani atawalindia kura zao?
bulicheka
Kwenye safari ya mapambano lazima ujue kuwa ni safari ndefu na yenye magumu mengi sana...........

Hiyo ni hatua moja kuelekea kwenye ushindi kamili.

Hilo suala la kulinda kura waachie mawakala wa vyama vya upinzani na wao wakiona maji yamewafika shingoni, basi Umma wa watanzania upo tayari kuingia barabarani, kama tulivyoelekezwa na mgombea wa Urais wa Chadema, Tundu Lissu, iwapo itathibitika kuwa kura zimeibiwa kwenye sanduku la kura
 
Kumbeee..

Mkuu Hv Kwa Upande Wenu,Ni kweli Kauli Ya Mh.TAL kuwa Patachimbika mkiibiwa kura?!!
 

Wachanganye na zipi ikiwa wao hawana hizo akili!
 

Waache waendelee kujibu ni muda muafaka wa kuwaelimisha
 
Uchaguzi huru na wa haki ukifanyika CCM itapata kura za wanaukoo walioko madarakani
 
Habwabwaji kaongea kweli tupu...viongozi wa tume ni makada wa ccm na ushahidi wa video umo mpaka humu JF
Jitahidini na nyie muwe na makada kama CCM wananchi wamewabaini wachumia tumbo, Chama gani kisichokuwa na wafia chama kila siku mnahama. jitahidini mpate na ninyi makada
 
NEC ni mali ya CCM ... hilo mbona liko wazi. Kuanzia Mwenyekiti, Mkurugenzi wa NEC, Macommissioner, Wakurugenzi wote wanateuliuwa na Mwenyekiti wa CCM ......
Unafaham uteuzi wa hao watu, nani anapaswa kuwateua hao watu kwa mjibu wakatiba?
Katiba haijasema hao watateuliwa na mwenyekiti wa ccm. Kwahyo achakudanganya uuma kwamba wateuliwa hao wanateuliwa na mwenyekiti wa ccm.
Tambua kuwa hata Leo hii tundu lisu akisha kuwa rais naye atapaswa kuwateua hao kwa mjibu wa katiba. Hivyo hakunamtu atakae lalamika kuwa wameteuliwa na mwenyekiti msaidizi wa chadema kwani lisu atakua anatekeleza matakwa ya kikatiba kwa mjibu wa sheria.
Bila shaka huifaham katiba ya Tanzania.
 
Nikweli upinzani umekufa, Hilo linajulikana, usibabaishwe na hizi kelele unazozisikia, wanatimiza wajibu tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…