Uchaguzi 2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Wafanye hivyo au wasifanye watashinda tu. Ni sawa na ule usemi anaoambiwa jogoo kua "uwike usiwike kutakucha". Hilo kosa la kimkakati lingekua na athari kama kungekua na uwanja sawa na nia ya dhati ya kushindanisha sera na atakayeshinda kwa haki ndio anatangazwa
Imani potofu ya kukata tamaa mapema. Iwapo matokeo yatakuja 55%/45% unaweza kusema kulikuwa na rigging, lakini kama kweli iwapo matokeoa yanakuja 90%/10% bado mtu utaalalamika?. Kwa nini usiache sheria ya uchaguzi ichukue mkondo wake, watu wapige kura zihesabiwe ndipo tujue kama kweli kuna rigging au la. Malalamiko haya ndiyo yale ya Trump huko Marekani leo, kuwa asiposhinda basi uchaguzi umekuwa rigged, yaani anajiaminisha kiuwa yeye ni wa kushinda tu; ni kama anachukulia kuwa wamarekani wote wako mifukoni mwake.
 
Sheria ipi ya uchaguzi ichukue mkondo wake? Sheria hizi ambazo tunaona zinatekelezwa kwa double standards za waziwazi kabisa?!!! Rigging haianzii kwenye matokeo bali huanzia kwenye kutangaza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura, uteuzi wa wagombea wa tume, utoaji nafasi kwa vyombo vya habari kwa vyama vyote na maandalizi yoote kabda ya kupiga kura
 
Nashindwa kukujibu kwa vile umeandika conjectural statements tu.
 
Conjectural statements?!! Ooh, its safe this way because I too have my political affiliation which doesn't necessarily aligned with my current opinion. You need not to answer me. Lets agree to disagree
 
Fine; conspiracy theories huwa zina nguvu sana kuliko scientific theories kwa vile conspiracy haihitaji nguvu ya proof bali inahitaji nguvu uenezaji tu
 
How I wish zingekua ni conspiracy theories. Kwa maoni yako kila kitu kiko sawa so far kwenye maandalizi ya huu uchaguzi wa mwaka huu? Kwamba kama kuna udanganyifu wowote basi tusibiri how close the results will ndio tuone? Or I'm I missing a point somewhere?
 
You are really missing a point because you are just spreading conspiracy theories without any proof. Generalization that our candidate was unfairly dropped off the ballot without providing a full set of criteria leading to that decision is pure conjectural.
 
Watendaji wote wa NEC ni wanachama wa CCM
Hoja tako inaonyesha jinsi ambavyo wapinzani walivyo wajinga au wapumbav kwa sababu wanaenda kuchukua fomu za ugombea urais na kuzirejesha kwa wanachama wa CCM!
 
Kila la heri kwa ufunguzi wa kampeni!

Ninapenda kampeni zenye heshima na tija kwa taifa!
 
You are really missing a point because you are just spreading conspiracy theories without any proof. Generalization that our candidate was unfairly dropped off the ballot without providing a full set criteria leading to that decision is pure conjecture.
Dah! If that's is your stand on actions and non actions of electro commission on electro processes so far, I rest my case
 
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum kwa siku hiyo.

Katibu wa CCM wa mkoa wa Dodoma bi Pili Mbanga amethibitisha habari uzinduzi wa kampeni hiyo na kusisitiza kwamba uzinduzi huo utakuwa ni wa aina yake.

Uzinduzi wa Jumamosi utakuwa ni wa mara ya kwanza kwa CCM kuanzisha kampeni ndani ya makao makuu ya Chama Cha mapinduzi na makao makuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi NEC uzinduzi wa kampeni kiufundi ulianza tarehe 26 August 2020, hivyo wagombea wote walopitishwa kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya uraisi wa JMT wanaruhusa ya moja kwa moja kuanza kampeni.

Vyombo mbalimbali vya habari vimealikwa kuhudhuria uzinduz huo na kuuonyesha moja kwa moja kutoka Dodoma.

Televisheni au "Telly" ya Taifa TBC inatarajiwa kurusha matangazo ya uzinduzi huo yatakayoonekana nchi nzima, moja kwa moja yaani "Live" kutoka mjini Dodoma.

CCM mwaka huu inaingia katika kampeni bila kutegemea sana migogoro ya wapinzani ambayo iliwanufaisha kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Mpaka sasa ni jambo lisilo ubishi kwamba CCM inajiamini kwa aina ya serikali ilounda ambayo imejikita katika kutekeleza kwa vitendo miradi mingi ya maendeleo ambayo haihitaji mtu kuitafuta bali yote yaonekana wazi.

Miundombinu mbalimbali kama madaraja na maboresho na ujenzi wa reli mpya, mradi wa umeme vijijini na kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji kodi ni miongozi mwa sera za CCM ambazo iliziahidi ingezitekeleza na imefanya hivyo.

Wananchi wa Tanzania hivi sasa wanasubiri kumsikia Rais John Magufuli atazungumzia masuala yepi siku ya Jumamosi huku akiomba kuendelea na miaka mingine mitano ya kuiongoza Tanzania.

Ni siku ya Jumamosi tarehe 20, August 2020 ndio itakayotoa khasa makusudio ya CCM kutaka tena kuongoza nchi hii kupitia kampeni zake zitakazoichukua kuzunguka tena katika mikoa mbalimbali.
Ninafahamu nini Atasema,,,na nina hakika na hilo, Standard gauge,, Stigglers golgi, madaraka,na fly overs,, yaani kifup hana hoja Tofauti na miundo mbinu.! Ambayo kwa baadhi ya sehemu ambako hiyo miundo mbinu haipo INABAKI kua Jambo la kusadikika,,,,Nina hamu ya kuwasikiliza WAPINZANI watakua na hoja zipi make sijasikia sera mbadala kwa Miaka 5 sasa,,,na kito ukweli SIWEZI kua mnafiki maisha yangu yapo dhoufu bin hali na kazi nafanya vizur kama muajiriwa na hata ziada ,,ila Miaka mitano sasa nilistahili kupanda daraja na kutumikia Cheo jipya,,,,#ASHINDE KWA KUIBA ###
 
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum kwa siku hiyo.

Katibu wa CCM wa mkoa wa Dodoma bi Pili Mbanga amethibitisha habari uzinduzi wa kampeni hiyo na kusisitiza kwamba uzinduzi huo utakuwa ni wa aina yake.

Uzinduzi wa Jumamosi utakuwa ni wa mara ya kwanza kwa CCM kuanzisha kampeni ndani ya makao makuu ya Chama Cha mapinduzi na makao makuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi NEC uzinduzi wa kampeni kiufundi ulianza tarehe 26 August 2020, hivyo wagombea wote walopitishwa kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya uraisi wa JMT wanaruhusa ya moja kwa moja kuanza kampeni.

Vyombo mbalimbali vya habari vimealikwa kuhudhuria uzinduz huo na kuuonyesha moja kwa moja kutoka Dodoma.

Televisheni au "Telly" ya Taifa TBC inatarajiwa kurusha matangazo ya uzinduzi huo yatakayoonekana nchi nzima, moja kwa moja yaani "Live" kutoka mjini Dodoma.

CCM mwaka huu inaingia katika kampeni bila kutegemea sana migogoro ya wapinzani ambayo iliwanufaisha kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Mpaka sasa ni jambo lisilo ubishi kwamba CCM inajiamini kwa aina ya serikali ilounda ambayo imejikita katika kutekeleza kwa vitendo miradi mingi ya maendeleo ambayo haihitaji mtu kuitafuta bali yote yaonekana wazi.

Miundombinu mbalimbali kama madaraja na maboresho na ujenzi wa reli mpya, mradi wa umeme vijijini na kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji kodi ni miongozi mwa sera za CCM ambazo iliziahidi ingezitekeleza na imefanya hivyo.

Wananchi wa Tanzania hivi sasa wanasubiri kumsikia Rais John Magufuli atazungumzia masuala yepi siku ya Jumamosi huku akiomba kuendelea na miaka mingine mitano ya kuiongoza Tanzania.

Ni siku ya Jumamosi tarehe 20, August 2020 ndio itakayotoa khasa makusudio ya CCM kutaka tena kuongoza nchi hii kupitia kampeni zake zitakazoichukua kuzunguka tena katika mikoa mbalimbali.
Miundombinu mbalimbali kama madaraja na maboresho na ujenzi wa reli mpya, mradi wa umeme vijijini na kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji kodi ni miongozi mwa sera za CCM ambazo iliziahidi ingezitekeleza na imefanya hivyo.........ajira, Uhuru wa Wananchi,vyombo vya habari,wafanyabiashara,watumishi,wakulima,wafugaji ndiko bomu kuliko.
 
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum kwa siku hiyo.

Katibu wa CCM wa mkoa wa Dodoma bi Pili Mbanga amethibitisha habari uzinduzi wa kampeni hiyo na kusisitiza kwamba uzinduzi huo utakuwa ni wa aina yake.

Uzinduzi wa Jumamosi utakuwa ni wa mara ya kwanza kwa CCM kuanzisha kampeni ndani ya makao makuu ya Chama Cha mapinduzi na makao makuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi NEC uzinduzi wa kampeni kiufundi ulianza tarehe 26 August 2020, hivyo wagombea wote walopitishwa kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya uraisi wa JMT wanaruhusa ya moja kwa moja kuanza kampeni.

Vyombo mbalimbali vya habari vimealikwa kuhudhuria uzinduz huo na kuuonyesha moja kwa moja kutoka Dodoma.

Televisheni au "Telly" ya Taifa TBC inatarajiwa kurusha matangazo ya uzinduzi huo yatakayoonekana nchi nzima, moja kwa moja yaani "Live" kutoka mjini Dodoma.

CCM mwaka huu inaingia katika kampeni bila kutegemea sana migogoro ya wapinzani ambayo iliwanufaisha kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Mpaka sasa ni jambo lisilo ubishi kwamba CCM inajiamini kwa aina ya serikali ilounda ambayo imejikita katika kutekeleza kwa vitendo miradi mingi ya maendeleo ambayo haihitaji mtu kuitafuta bali yote yaonekana wazi.

Miundombinu mbalimbali kama madaraja na maboresho na ujenzi wa reli mpya, mradi wa umeme vijijini na kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji kodi ni miongozi mwa sera za CCM ambazo iliziahidi ingezitekeleza na imefanya hivyo.

Wananchi wa Tanzania hivi sasa wanasubiri kumsikia Rais John Magufuli atazungumzia masuala yepi siku ya Jumamosi huku akiomba kuendelea na miaka mingine mitano ya kuiongoza Tanzania.

Ni siku ya Jumamosi tarehe 20, August 2020 ndio itakayotoa khasa makusudio ya CCM kutaka tena kuongoza nchi hii kupitia kampeni zake zitakazoichukua kuzunguka tena katika mikoa mbalimbali.
Miundombinu mbalimbali kama madaraja na maboresho na ujenzi wa reli mpya, mradi wa umeme vijijini na kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji kodi ni miongozi mwa sera za CCM ambazo iliziahidi ingezitekeleza na imefanya hivyo.........ajira, Uhuru wa Wananchi,vyombo vya habari,wafanyabiashara,watumishi,wakulima,wafugaji ndiko bomu liliko.
 
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum kwa siku hiyo.

Katibu wa CCM wa mkoa wa Dodoma bi Pili Mbanga amethibitisha habari uzinduzi wa kampeni hiyo na kusisitiza kwamba uzinduzi huo utakuwa ni wa aina yake.

Uzinduzi wa Jumamosi utakuwa ni wa mara ya kwanza kwa CCM kuanzisha kampeni ndani ya makao makuu ya Chama Cha mapinduzi na makao makuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi NEC uzinduzi wa kampeni kiufundi ulianza tarehe 26 August 2020, hivyo wagombea wote walopitishwa kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya uraisi wa JMT wanaruhusa ya moja kwa moja kuanza kampeni.

Vyombo mbalimbali vya habari vimealikwa kuhudhuria uzinduz huo na kuuonyesha moja kwa moja kutoka Dodoma.

Televisheni au "Telly" ya Taifa TBC inatarajiwa kurusha matangazo ya uzinduzi huo yatakayoonekana nchi nzima, moja kwa moja yaani "Live" kutoka mjini Dodoma.

CCM mwaka huu inaingia katika kampeni bila kutegemea sana migogoro ya wapinzani ambayo iliwanufaisha kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Mpaka sasa ni jambo lisilo ubishi kwamba CCM inajiamini kwa aina ya serikali ilounda ambayo imejikita katika kutekeleza kwa vitendo miradi mingi ya maendeleo ambayo haihitaji mtu kuitafuta bali yote yaonekana wazi.

Miundombinu mbalimbali kama madaraja na maboresho na ujenzi wa reli mpya, mradi wa umeme vijijini na kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji kodi ni miongozi mwa sera za CCM ambazo iliziahidi ingezitekeleza na imefanya hivyo.

Wananchi wa Tanzania hivi sasa wanasubiri kumsikia Rais John Magufuli atazungumzia masuala yepi siku ya Jumamosi huku akiomba kuendelea na miaka mingine mitano ya kuiongoza Tanzania.

Ni siku ya Jumamosi tarehe 20, August 2020 ndio itakayotoa khasa makusudio ya CCM kutaka tena kuongoza nchi hii kupitia kampeni zake zitakazoichukua kuzunguka tena katika mikoa mbalimbali.
Hawa wahuni habari zao hazina mvuto Kama habari za Chadema,
Hawana Cha kuwaeleza wananchi, zaidi ya sgr, stiglers... Na upuuzi mwingiii
 
Huna tofauti na kina YEHODAYA jingalao Barbarosa Simiyu Yetu Pascal Mayalla na Lumumba FC wengine!

Huna heshima ya kujiita mchambuzi huru zaidi ya kuwa kada wa CCM
Mkuu Lusungo, hapa jf kuna kasumba ya wafuasi wa Chadema kutamalaki na kujiona kama jf ni yao ni mali yao na ukiwa pro opposition ndio pekee wenye mamlaka kutawala mijadala humu jf.

Mbona Kitila, Zitto, Tumaini etc ni makada wa vyama vya siasa na wananaleta mijadala humu inajadiliwa bila kubezwa, lakini ukiwa CCM ndio inabezwa?!, why?!.

Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!.
P
 
Naunga mkono hoja Kaka Mkubwa.
 
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum kwa siku hiyo.

Katibu wa CCM wa mkoa wa Dodoma bi Pili Mbanga amethibitisha habari uzinduzi wa kampeni hiyo na kusisitiza kwamba uzinduzi huo utakuwa ni wa aina yake.

Uzinduzi wa Jumamosi utakuwa ni wa mara ya kwanza kwa CCM kuanzisha kampeni ndani ya makao makuu ya Chama Cha mapinduzi na makao makuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa tume ya Uchaguzi NEC uzinduzi wa kampeni kiufundi ulianza tarehe 26 August 2020, hivyo wagombea wote walopitishwa kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya uraisi wa JMT wanaruhusa ya moja kwa moja kuanza kampeni.

Vyombo mbalimbali vya habari vimealikwa kuhudhuria uzinduz huo na kuuonyesha moja kwa moja kutoka Dodoma.

Televisheni au "Telly" ya Taifa TBC inatarajiwa kurusha matangazo ya uzinduzi huo yatakayoonekana nchi nzima, moja kwa moja yaani "Live" kutoka mjini Dodoma.

CCM mwaka huu inaingia katika kampeni bila kutegemea sana migogoro ya wapinzani ambayo iliwanufaisha kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Mpaka sasa ni jambo lisilo ubishi kwamba CCM inajiamini kwa aina ya serikali ilounda ambayo imejikita katika kutekeleza kwa vitendo miradi mingi ya maendeleo ambayo haihitaji mtu kuitafuta bali yote yaonekana wazi.

Miundombinu mbalimbali kama madaraja na maboresho na ujenzi wa reli mpya, mradi wa umeme vijijini na kufikiwa kwa malengo ya ukusanyaji kodi ni miongozi mwa sera za CCM ambazo iliziahidi ingezitekeleza na imefanya hivyo.

Wananchi wa Tanzania hivi sasa wanasubiri kumsikia Rais John Magufuli atazungumzia masuala yepi siku ya Jumamosi huku akiomba kuendelea na miaka mingine mitano ya kuiongoza Tanzania.

Ni siku ya Jumamosi tarehe 20, August 2020 ndio itakayotoa khasa makusudio ya CCM kutaka tena kuongoza nchi hii kupitia kampeni zake zitakazoichukua kuzunguka tena katika mikoa mbalimbali.
expand...Yuko jirani yangu ambae hakumlipia mtoto wake karo shule pale iliyokuwa Biafra Secondary School Kinondoni kwa kisingizio kuwa anajenga nyumba yake kule salasala maana amechoka kuendelea kupanga nyumba za watu. Huyu mtoto aliishia form two akaacha shule. Yule baba Ni kweli Sasa hivi kahamia kwenye nyumba yake lakini mtoto yule anafanya kazi za ulinzi kwenye majumba ya watu kwa kukosa elimu.
 
Back
Top Bottom