Uchaguzi 2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Kwa hiyo kampeini zitafunguliwa na Magufuli mwenyewe, siyo Kikwete wala Mwinyi. Tulizowea kampeini zinazinduliwa na rais mstaafu mmojawapo.

Nadhani wapo wageni waalikwa maraisi wastaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…