LGE2024 CCM: Lazima mkubali mambo yanabadilika na humuwezi kuwadanyanya watu siku zote

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hoja gani ujanja ujanja leo huku watu hawajatokea kituoni ila Sanduku limejaa kura nimecheka sana
Hahhaha mara mtu anakamatwa na kura tayari zishapigwa! Unajiuliza kazipata wapi huyu? Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni
 
β€œViongozi wabaya ni wale wanaochaguliwa na raia wema wasioshiriki kupiga kura.” ~ George Jean Nathan
 
CCM inazikwa taratibu na wenye tamaa ya madaraka. Wao watapita CCM itabaki ikiwa taabani kwa kashfa mbalimbali.
 
kwa aina ya upinzani ulivyo,

na kwa namna CCM inavyotumia sayansi na tecknologia ya siasa kujiimarisha,

hakuna dalili wala ishara, kwamba eti siku moja CCM itashindwa uchaguzi na chama kingine cha siasa kushika hatamu.

gubu na makasiriko ya kushindwa uchaguzi haziwezi kubadilisha chochote au kuudhoofisha CCM imara uliyojipanga kushindwa kushika hatamu tena na tena πŸ’
 
nawapongeza polisi kwa kuimarisha amani kipindi hiki cha uchaguzi

pia nawapongeza wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi kwa ushindi wa kishindo maeneo mengi nchi hakika watanzania wameonyesha ukomavu kisiasa kwa kuchagua kilicho bora
 
Figisu ni hatua ya mwisho ya mtu aliyefeli....akiishiwa hii mbinu basi anaondoka mazima maan hana option nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…