CCM Lumumba zimejaa Toyota Landcruiser mkonga nje za Wenyeviti wa mikoa. Ni vema CHADEMA wakajifunza matumizi mazuri ya ruzuku

Waulize ziko wapi?
zinafanya kazi ya kueneza chadema msingi huko mikoani. Au ulitaka ziendelee kupaki hapo kinondoni ili mpate jambo la kuongelea?umesahau kuwa baada ya policcm kushusha bendera za chadema kwenye milingoti yenu hizo gari ndio zilitumika kupeperusha bendera.
 
zinafanya kazi ya kueneza chadema msingi huko mikoani. Au ulitaka ziendelee kupaki hapo kinondoni ili mpate jambo la kuongelea?
Sasa mbona kanda ya kusini hatuioni badala yake viongozi wanakodi bodaboda?........au ziko Kilimanjaro kwa Ole sabaya?
 
Wanavyojali matumbo yao watakuelewa lakini?! Jamaa kwa hela ni hatari, hasa Lissu na Mbowe...
 
Mwenye mada,una ushahidi asilimia ngapi kuwa hayo magari yamenunuliwa na hela halali ya mcc?.

Unajua mcc ndo inaongoza kwa ufisadi hapa nchini?.
Utakubaliana na Mimi Kama pesa ilitolewa kwenye chanzo ambacho siyo halali hata Hilo gari Ni haramu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…