johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Unazungumzia pale Ufipa!Na wewe kwako nje kumejaa nini Madimbwi ya maji machafu yaliyotuama, baada ya mvua kunyesha na kufanya mazalia ya mbua kuongezeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia pale Ufipa!Na wewe kwako nje kumejaa nini Madimbwi ya maji machafu yaliyotuama, baada ya mvua kunyesha na kufanya mazalia ya mbua kuongezeka.
zinafanya kazi ya kueneza chadema msingi huko mikoani. Au ulitaka ziendelee kupaki hapo kinondoni ili mpate jambo la kuongelea?umesahau kuwa baada ya policcm kushusha bendera za chadema kwenye milingoti yenu hizo gari ndio zilitumika kupeperusha bendera.Waulize ziko wapi?
Sasa mbona kanda ya kusini hatuioni badala yake viongozi wanakodi bodaboda?........au ziko Kilimanjaro kwa Ole sabaya?zinafanya kazi ya kueneza chadema msingi huko mikoani. Au ulitaka ziendelee kupaki hapo kinondoni ili mpate jambo la kuongelea?
Wanavyojali matumbo yao watakuelewa lakini?! Jamaa kwa hela ni hatari, hasa Lissu na Mbowe...Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.
Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.
Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu siku hizi Chadema mnafanya vikao kwenye mahoteli nje ya nchi mpo vema..59 billion + ruzuku 14.4 billion = 73.4 billion.
..viongozi wa ccm wasingekuwa walafi na wabinafsi wanachama wa kawaida wangeweza kupata ahueni ktk maisha yao.
Siku hizi vikao vitafanyikia Nairobi ili kuwezesha akidi kutimia!Mkuu siku hizi Chadema mnafanya vikao kwenye mahoteli nje ya nchi mpo vema
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyojali matumbo yao watakuelewa lakini?! Jamaa kwa hela ni hatari, hasa Lissu na Mbowe...
Mkuu siku hizi Chadema mnafanya vikao kwenye mahoteli nje ya nchi mpo vema
Sent using Jamii Forums mobile app
Utazionaje wakati wewe uko kwenye korido za lumumba kushangaa land cruiser mkongaSasa mbona kanda ya kusini hatuioni badala yake viongozi wanakodi bodaboda?........au ziko Kilimanjaro kwa Ole sabaya?