Uchaguzi 2020 CCM maji ya shingo Kyela, wapambe wa Mwakyembe waapa kuichagua CHADEMA. Mangula ashindwa kuokoa Jahazi

Tusisahau wakati wa kikwete pia alipata kashehshe nyingi za kukataliwa jimboni, lakini alibebwa na kikwete na kinana.

Mwakyembe ana kiburi sana jimboni kwake na madharau
 
😁😂 taarifa zandani za ccm zinatolewa na kada wa CDM! Hii dunia inamaajabu yake
 
Tusisahau wakati wa kikwete pia alipata kashehshe nyingi za kukataliwa jimboni, lakini alibebwa na kikwete na kinana.

Mwakyembe ana kiburi sana jimboni kwake na madharau
Ndo Ushangae Eti Bado Wanadhani Ana Nguvu. Ni Muda Umesema Wajaribu Na Mwingine
 
😁😂 taarifa zandani za ccm zinatolewa na kada wa CDM! Hii dunia inamaajabu yake
Si kwamba wanaccm hawajui bali hawawezi kuzitoa hadharani kwa hofu ya kulogwa
 
Chadema wanaokoteza habari ili kujifurahisha wanadhani kipigo hakitawakuta.
 
Niko hapa Maeneo ya Serengeti unayosema hayapo, japo mkutano wa cdm ulifanyika
 
Safi sana! Siku ya kufa nyani.....

Tusisahau wakati wa kikwete pia alipata kashehshe nyingi za kukataliwa jimboni, lakini alibebwa na kikwete na kinana.

Mwakyembe ana kiburi sana jimboni kwake na madharau

Nyie darasa la 7 na yeye ana digrii 4!!!! Sumu bado haijamtoka mwilini ndio maana anaweweseka!!
 
wewe ccm maandazi haya utayajulia wapi ?
Ha ha haaa! Kwa tembea yenu, kwa kudunda kwenu, kwa kunena kwenu na hata kuandika kwenu ni rahisi sana kujua mlivyo'frustrated', kwa kukosea kuteua mgombea wenu kwenye nafasi ya urais. Hakuna namna mvumilie tu maana sikio halisikii dawa muda huu! Ha h ah aaaa! Mtaniiii! Unalo mwaka huu.
 
Katoro
 
Attachments

  • Katoro ... Jirani na CHATO ( 352 X 640 ).mp4
    4.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…