hahahaha Kuna Ukweli HapoHabari za ccm kutoka kwa kada wa chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha Kuna Ukweli HapoHabari za ccm kutoka kwa kada wa chadema.
Ndo Ushangae Eti Bado Wanadhani Ana Nguvu. Ni Muda Umesema Wajaribu Na MwingineTusisahau wakati wa kikwete pia alipata kashehshe nyingi za kukataliwa jimboni, lakini alibebwa na kikwete na kinana.
Mwakyembe ana kiburi sana jimboni kwake na madharau
HahahahaChawa wa Mwakyembe wamechachamaa ghetto.
Si kwamba wanaccm hawajui bali hawawezi kuzitoa hadharani kwa hofu ya kulogwa😁😂 taarifa zandani za ccm zinatolewa na kada wa CDM! Hii dunia inamaajabu yake
Tutashinda pale na utabaki mdomo waziushahidi anao Mangula
wewe mtu wa ukerewe ya kyela utayajulia wapi ?Chadema wanaokoteza habari ili kujifurahisha wanadhani kipigo hakitawakuta.
wewe ccm maandazi haya utayajulia wapi ?Sidhani CCM ninayoijua ya sasa kama ina upambe na wapambe! Nasema sidhani.
Huku ikiwa bado Mbeba Maono Tundu Lissu kukanyaga ardhi ya Kyela, tayari CCM imeanza kupukutika yenyewe mithili ya mti wakati wa kiangazi, makovu ya kura za maoni yanaendelea kuitesa baada ya wapambe wa Mwakyembe kujiapiza na kugoma kumnadi wala kumpa kura zao mgombea wa CCM Ally Jumbe ambaye wanadai alikuwa mbeba mafaili wa Mwakyembe aliyesaliti kambi.
Taarifa zinadokeza kwamba mikutano mizito na mikubwa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA Mhe. Alinanuswe Mwalwange na hasa umati uliohudhuria siku ya uzinduzi wa kampeni zake kwenye uwanja wa Tacoshiri kumeisambaratisha zaidi CCM huku wapambe wa Mwakyembe wakichekelea hasa baada ya kampeni za uzinduzi za CCM zilizotangulia kudoda kwenye uwanja wa siasa
Juhudi za Mzee Mangula kuokoa jahazi zimegonga mwamba
Tusisahau wakati wa kikwete pia alipata kashehshe nyingi za kukataliwa jimboni, lakini alibebwa na kikwete na kinana.
Mwakyembe ana kiburi sana jimboni kwake na madharau
wewe mtu wa ukerewe ya kyela utayajulia wapi ?
sasa unapinga nini ?Niko hapa Maeneo ya Serengeti unayosema hayapo, japo mkutano wa cdm ulifanyika
Ha ha haaa! Kwa tembea yenu, kwa kudunda kwenu, kwa kunena kwenu na hata kuandika kwenu ni rahisi sana kujua mlivyo'frustrated', kwa kukosea kuteua mgombea wenu kwenye nafasi ya urais. Hakuna namna mvumilie tu maana sikio halisikii dawa muda huu! Ha h ah aaaa! Mtaniiii! Unalo mwaka huu.wewe ccm maandazi haya utayajulia wapi ?
KatoroHa ha haaa! Kwa tembea yenu, kwa kudunda kwenu, kwa kunena kwenu na hata kuandika kwenu ni rahisi sana kujua mlivyo'frustrated', kwa kukosea kuteua mgombea wenu kwenye nafasi ya urais. Hakuna namna mvumilie tu maana sikio halisikii dawa muda huu! Ha h ah aaaa! Mtaniiii! Unalo mwaka huu.