Uchaguzi 2020 CCM Maji ya shingo Temeke, mgombea wao wa ubunge hafahamiki popote, Sina Manzi wa CHADEMA ang'ara

Hata Hadija Said Mwago huenda akashinda jimbo la Mbagala.
 
Kuna vitu huwa watu mnazungumza sijui kwa kutumia nini.
Hivi unajua huyo hadija mwago hawezi kupata kura hata robo ya atazopata chaurembo?
Swali lingine kwako, unajua huyo hadija hajaonekana kwenye kampeni ana wiki kadhaa sasa?
Hata Hadija Said Mwago huenda akashinda jimbo la Mbagala.
 
Wewe mbona nishakudharau bado tu huelewi ?
 
Kuna vitu huwa watu mnazungumza sijui kwa kutumia nini.
Hivi unajua huyo hadija mwago hawezi kupata kura hata robo ya atazopata chaurembo?
Swali lingine kwako, unajua huyo hadija hajaonekana kwenye kampeni ana wiki kadhaa sasa?
Mimi nimekutana nae kwenye kampeni za mtaa kwa mtaa
 
Usimuongopee mtu aisee, pili kinachomcost hadija mwago ni kushindwa kwenye kura za maoni alafu jina lake likarudishwa.
Hadija mwago alipitwa mbali sana kwenye kura za maoni, ila hii inaweza isiwe sababu kubwa sana ya yeye kushindwa. Sababu ni kuwa hajui kufanya siasa, pili nguvu ambayo anayopewa ni ndogo sana na hivyo watu hawamjui kabisa.
Chaurembo ameanza kuutafuta ubunge tokea 2015, na ametumia nafasi yake ya umeya kujijenga kwelikweli mbagala, na ni mtu mjanja sana. Asikuongopee mtu, hakuna anayeweza kumshinda chaurembo mbagala
Mimi nimekutana nae kwenye kampeni za mtaa kwa mtaa
 
Alafu ukishanidharau? Wewe ndio utakuwa wa kwanza kuja kulialia hapa kuwa kura zimeibiwa sababu ya ujinga wako kichwani bila kuelewa huko majimboni nini kinaendelea.
Ungeuliza kwanza nini kinaendelea huko alafu ndio uje ulete humu
Wewe mbona nishakudharau bado tu huelewi ?
 
Hadija alishinda kura za maoni nachoweza kukubaliana na wewe ni hilo la uzoefu kwenye siasa.

Ndiyo maana hata mimi nimetumia neno "huenda"

Anyway tusubiri matokeo ya uchaguzi ila kwa Temeke hili jimbo ccm mnalipoteza.
 
Nadhani hufahamu na kama unafahamu basi unafanya makusudi.
Aliyeshinda kura za maoni mbagala alikuwa ni Sudai, ila jina lilikatwa makao makuu na kuletwa hadija mwago
 
Nadhani hufahamu na kama unafahamu basi unafanya makusudi.
Aliyeshinda kura za maoni mbagala alikuwa ni Sudai, ila jina lilikatwa makao makuu na kuletwa hadija mwago
Chadema itakusababishia kisukari safari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…