Uchaguzi 2020 CCM Maji ya shingo Temeke, mgombea wao wa ubunge hafahamiki popote, Sina Manzi wa CHADEMA ang'ara

Chadema imejisazia wagombea bora nchi nzima
 
Kama vipi piga magoti tafadhali.
 
Nilichokiona wengi wenu ni washabiki wa chadema, sio wanachama. Hamkijui chama na hamjui nini kinaendelea kila wakati kwenye chama, nyie mna kazi ya ushabiki tu.
Mimi kwa nafasi niliyonayo na kwa jinsi ninavyokutana na kuwasiliana sana na viongozi wa chama, kama ningekuwa kama nyie basi kusingetosha humu.
Leo nilikuambia unajua sababu ya mkutano wa hai kuabirishwa, ila ukabaki unatoa macho tu. Umeweka post kuwa mkutano umehairishwa, ila sababu za kuahirishwa huzijui
Chadema itakusababishia kisukari safari hii
 
Piga magoti basi wacha maneno mengi. Uongo wey wananchi wameshaugundua mwaka huu mtakula hadi vumbi
 
Mimi sio mwana siasa wala Sina Chama lakini magufuli alivyo tutesa hata kama angekua anagombea na mbwa basi ningempigia mbwa
Wengi watakaompigia kura lissu sio kwa Sera au mapenzi ni kwa sababu magufuli ametutesa na kutunyanyasa Sana katika nchi tunayoiita nyumbani
Kuna makada na wakereketwa wa CCM utampigia kura lissu
 
Huyo Sina kwakweli ndio nimemtambua leo .
 
Kumpigia kura nani huo ni uamuzi wako, muhimu kahakiki jina lako kama lipo
 
umedanganywa vibaya sana , hata uchokonoe vipi hatutaropoka kila jambo
 
Kipindi hiki Cha uchaguzi naona Dar Kama imepoa Sana , na mikoani ndo wako hot kuleta vuguvugu la mabadiriko
 
Nyie ndio mnafanya anajigalagaza chini kwa kauli hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…