Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ndani ya miezi sita wamerekebisha Katiba yao mara mbili, lakini ndani ya miaka 5 wamesema hawana muda wa kurekebisha Katiba ya Tanzania.Wanajua katika uchaguzi huru na haki hawatatoboa maana hawakubaliki
Hao watu ni wabinafsi na waliokosa utuNdani ya miezi sita wamerekebisha Katiba yao mara mbili, lakini ndani ya miaka 5 wamesema hawana muda wa kurekebisha Katiba ya Tanzania.
Chama cha majambazi, ccm.Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi?
CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
Wanalelewa na nature ya waTanganyika wa kutojali mustakbali wa nchi yao. Laiti waTanganyika wangekuwa na uthubutu wa kuhoji na kusimamia ukweli. Wala wasingewachezea wananchiKama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi?
CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
CCM inajua haiwezi kushinda kukiwa na uwanja huruKama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi?
CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi?
CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
Hii kauli yako imeniumiza, lakini ndo ukweli mchungu.Wanalelewa na nature ya waTanganyika wa kutojali mustakbali wa nchi yao. Laiti waTanganyika wangekuwa na uthubutu wa kuhoji na kusimamia ukweli. Wala wasingewachezea wananchi
Unajua nilichoandika hakihusiani na ulichojibu?Ya CCM, wewe hayakuhusu, sbb sio mwana CCM