Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa.
Kosa la karne mlilolifanya mwaka huu ni kukubali kuzidiwa akili na CHADEMA. Ni rahisi sana kupambana na chama pinzani kuliko kushindana na umma mzima.
Kwa sasa mnatumia "Notebook" ya Magufuli kuanzia kwenye uchaguzi mpaka kwenye kuongoza nchi. Lakini kitu ambacho mnakuja kukisahau ni kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na kupendwa yeye kama yeye na si kama mwana CCM.
Endeleeni kukaza shingo, muue chama chenu!