CCM mkiendelea kukaza shingo, hawatang'oka viongozi tu, bali mpaka chama kitakufa, hakuna atakayetaka kukisikia milele.

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa.

Kosa la karne mlilolifanya mwaka huu ni kukubali kuzidiwa akili na CHADEMA. Ni rahisi sana kupambana na chama pinzani kuliko kushindana na umma mzima.

Kwa sasa mnatumia "Notebook" ya Magufuli kuanzia kwenye uchaguzi mpaka kwenye kuongoza nchi. Lakini kitu ambacho mnakuja kukisahau ni kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na kupendwa yeye kama yeye na si kama mwana CCM.

Endeleeni kukaza shingo, muue chama chenu!

Your browser is not able to display this video.
 
CCM inatakiwa kufutwa na mali zake kutaifishwa. Otherwise tutarudi huko huko. Chama kinachojiona kikubwa kuliko nchi hakifai.
 
Hii hiko wazi…
Wazee wazima na wakongwe wa CCM wameficha pumb* bibi anawabagaza tu. Wamekuwa wapoleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…