Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tunajua mko bize kuwaza mnashindaje kwa kishindo cha furushi la mwizi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Ingawa tangu muanze "kushinda kwa kishindo" sisi watanzania hatuoni kishindo chochote cha kimaendeleo kwenye maisha yetu.
Israel kaanzisha vita huko Mashariki ya kati, na kwa mtazamo tu inawezekana vita hiyo ikasambaa eneo lote la Mashariki ya kati, Uarabuni, Urusi hata mpaka uturuki.
Huko vita inakotarajiwa kufika ndiko bei ya mafuta hupangwa. Jee CCM mmejipangaje iwapo ama mafuta yakiadimika au bei zake kupanda?
Uzowefu unaonesha nyie CCM hamjawahi kujiandaa kupambana na athari zitokanazo na uchumi wa Dunia unapoyumba.