hahahaha siku zote tuko off-guard.
sababu tunayo tayari, Vita ya Israeli vs Iran ndio imesababisha mafuta yauzwe 10k/litre.
Machawa na makada kama kawaida tunasimama kutoa utetezi na vita ikiisha tutaambiwa bei imeshuka to 9980/ litre kama kawaida makada na machawa tutaipongeza GOT kwa kazi nzuri.