CCM mmeteua au mmepinduana?

CCM ni chama chenye mipango,kilichopangika na kinachoendesha mambo yake kisayansi na ndio maana kinaeleweka kwa wananchi sehemu zote mijini hadi vijijini.

#Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
#Samia 2025 -2030.
 
BP Ya Ccm Ipo Juu Sana, Mgonjwa Anapepewa Hataki Kula Chochote
Dhambi Yao wote ni moja, kuikwamisha katiba mpya, malipo hapa hapa duniani, wapambane no Hali zaoπŸƒ.
 

Cheo ni dhamana. Ahadi ya 5 ya Mwana TANU na sasa CCM. Tuna tatizo kubwa nchi hii kwa sasa, watu wakiteuliwa ktk madaraka ya umma kisha wakiondolewa maneno yanakuwa mengi. Tujifunze historia ya mzee Kawawa, Msuya na hata Warioba. Waliteuliwa huku wakatupwa kule lakini, walikuwa watiifu tu.
 
CCM ni chama chenye mipango,kilichopangika na kinachoendesha mambo yake kisayansi na ndio maana kinaeleweka kwa wananchi sehemu zote mijini hadi vijijini.

#Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
#Samia 2025 -2030.
Kidumu kilisha toboka zamaaaniπŸ˜‚.
 
Hili unalosema si kweli mpaka sasa bungeni mle Luna wabunge 7 ambao wameandaliwa kwenye vyama vya upinzani.

Wakuu wa wilaya watano wameandaliwa upinzani.

Manaibu waziri watatu na na waziri kamili mmoja wote zao la upinzani.

Je ccm hawakuona hao viongozi walioandaliwa ndani ya ccm hadi wanunue wapinzani na kuwapa vyeo ?
 
Halafu wengi wa wateuliwa ni wa imani moja tu. Yetu macho.
 
Hiyo kitu inaitwa magufuli legacy ni kitu nzito sana labda mama amwage damu ya wazarendo 2000 hivi ndiyo atawezana nayo kuiondoa
Wasukuma ndo mnawaita wazalendo
 
Sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…