Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
hapa mbona wewe ndio inaonekana ni bwabwa 👉Hili bwabwa la chadema kila thread lipo....linaongea utombinyika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa mbona wewe ndio inaonekana ni bwabwa 👉Hili bwabwa la chadema kila thread lipo....linaongea utombinyika tu
Wanajitangaza in direct
Dhambi Yao wote ni moja, kuikwamisha katiba mpya, malipo hapa hapa duniani, wapambane no Hali zao🏃.BP Ya Ccm Ipo Juu Sana, Mgonjwa Anapepewa Hataki Kula Chochote
Naenda kwenye mada moja kwa moja.
CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru.
Kwamba anaingia mwanachama wa chama CCM kushika wadhifa wa urais.Anashika pia wadhifa wa uenyekiti wa chama
Kisha anaanza kupangua safu yoote ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka wilayani.
Hao watu unaowapangua ndio watendaji wa mashinani wanaokijua chama,kuliko hao vigogo mnaokaa nao huko makao makuu.
Lakini pia hata hao wakubwa wa chama unaowateua huko juu pia hawana uzoefu na siasa za CCM ikiwemo pia kutowajua wajumbe mikoani na jinsi ya ku deal nao.
Tumewaona wakipita wakitoa matamko ya kiserikali zaidi, kuliko ya kichama.
Kwa ufupi tu niseme wazi uamuzi huu meenyekiti hukushauriwa vizuri.
Hili kundi ni kubwa sana na kuliondoa kwa wakati mmoja, ukizingatia wao pia wana mitandao yao mpaka mashinani.
2025 hiyo unayojiandalia mwenyekiti usishangae lolote usiloweza kuamini likitokea, ukizingatia kwamba hata hao wabunge ni wageni wa siasa za majukwaani.
Upinzani wa kweli ndio unaweza kuzaliwa sasa.
Kama umefanya mapinduzi kuondoa mfumo mzima wa JPM, (ingawa hii ni tafsiri isiyo rasmi).
Angalieni tusije kutana wote vijiweni.
Huenda Kwa umefanya haya kwa sababu ambazo wananchi wa kawaida hatuzijui.
Lakini kwa wananchi wengi mashinani huko site wakawa na tafsiri yao tofauti,kama watatokea wa kuwashawishi na kuwaeleza vinginevyo na wakamuamini.
Alamsikh!
Naenda kwenye mada moja kwa moja.
CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru.
Kwamba anaingia mwanachama wa chama CCM kushika wadhifa wa urais. Anashika pia wadhifa wa uenyekiti wa chama

Kidumu kilisha toboka zamaaani😂.CCM ni chama chenye mipango,kilichopangika na kinachoendesha mambo yake kisayansi na ndio maana kinaeleweka kwa wananchi sehemu zote mijini hadi vijijini.
#Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
#Samia 2025 -2030.
Hapo Surrat~Zubaa Imesomwa Mchana Kweupe Kuku Wanaona
Mkuu huyo sura ipo kweli au ni fixHapo Surrat~Zubaa Imesomwa Mchana Kweupe Kuku Wanaona
Hili unalosema si kweli mpaka sasa bungeni mle Luna wabunge 7 ambao wameandaliwa kwenye vyama vya upinzani.CCM ni chama kikubwa na kimeandaa viongozi wengi wa kutosha hata upinzani huwa teua kwenye vyama vyao!!!Mbio za vijiti ni kupokezana tu ndugu yangu!!!kunywa maji baridi upoze hasira!!Haya mavyeo haya ni ya kupita tu wala si ya milele!!!Jipe moyo ndugu Dunia mapito tu!!!
Wasukuma ndo mnawaita wazalendoHiyo kitu inaitwa magufuli legacy ni kitu nzito sana labda mama amwage damu ya wazarendo 2000 hivi ndiyo atawezana nayo kuiondoa
Sukuma gangNaenda kwenye mada moja kwa moja.
CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru.
Kwamba anaingia mwanachama wa chama CCM kushika wadhifa wa urais. Anashika pia wadhifa wa uenyekiti wa chama
Kisha anaanza kupangua safu yoote ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka wilayani.
Hao watu unaowapangua ndio watendaji wa mashinani wanaokijua chama,kuliko hao vigogo mnaokaa nao huko makao makuu.
Lakini pia hata hao wakubwa wa chama unaowateua huko juu pia hawana uzoefu na siasa za CCM ikiwemo pia kutowajua wajumbe mikoani na jinsi ya ku deal nao.
Tumewaona wakipita wakitoa matamko ya kiserikali zaidi, kuliko ya kichama.
Kwa ufupi tu niseme wazi uamuzi huu meenyekiti hukushauriwa vizuri.
Hili kundi ni kubwa sana na kuliondoa kwa wakati mmoja, ukizingatia wao pia wana mitandao yao mpaka mashinani.
2025 hiyo unayojiandalia mwenyekiti usishangae lolote usiloweza kuamini likitokea, ukizingatia kwamba hata hao wabunge ni wageni wa siasa za majukwaani.
Upinzani wa kweli ndio unaweza kuzaliwa sasa.
Kama umefanya mapinduzi kuondoa mfumo mzima wa JPM, (ingawa hii ni tafsiri isiyo rasmi).
Angalieni tusije kutana wote vijiweni.
Huenda Kwa umefanya haya kwa sababu ambazo wananchi wa kawaida hatuzijui.
Lakini kwa wananchi wengi mashinani huko site wakawa na tafsiri yao tofauti,kama watatokea wa kuwashawishi na kuwaeleza vinginevyo na wakamuamini.
Alamsikh!
Chadema hawafi kwa Corona, Kaka yake mbowe alikufa kwa malaria.Corona ndiyo kiboko yenu
Corona inawawezeniChadema hawafi kwa Corona, Kaka yake mbowe alikufa kwa malaria.
kama walivyokuwa Wazilankende enzi zile ha ha! Mambo ni kangaja huenda yakajaSehemu kubwa ni wazanzibari

mwambie akaribie kijiweni wenzake tushapazoea ha ha ha!Kumbe unaogopa kukaa kijiweni....
Chama na serikali kijaribu kubalance dini zetu kuu mbili katika teuzi wakati wote. Sio lazima tufuate ujinga alioendekeza Magufuli. Kigoma na Kilimanjaro ni kama 5:2 kwa waliotejliwa. Sio jambo zuri japo majira haya tulitegemea.
Twendako siko kabisaaaaaaakama walivyokuwa Wazilankende enzi zile ha ha! Mambo ni kangaja huenda yakaja
kama walivyokuwa Wazilankende enzi zile ha ha! Mambo ni kangaja huenda yakaja
mwambie akaribie kijiweni wenzake tushapazoea ha ha ha!