CCM mmeteua au mmepinduana?

CCM mmeteua au mmepinduana?

Hili bwabwa la chadema kila thread lipo....linaongea utombinyika tu
hapa mbona wewe ndio inaonekana ni bwabwa 👉

650122.png
 
CCM ni chama chenye mipango,kilichopangika na kinachoendesha mambo yake kisayansi na ndio maana kinaeleweka kwa wananchi sehemu zote mijini hadi vijijini.

#Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
#Samia 2025 -2030.
 
Naenda kwenye mada moja kwa moja.

CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru.

Kwamba anaingia mwanachama wa chama CCM kushika wadhifa wa urais.Anashika pia wadhifa wa uenyekiti wa chama

Kisha anaanza kupangua safu yoote ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka wilayani.

Hao watu unaowapangua ndio watendaji wa mashinani wanaokijua chama,kuliko hao vigogo mnaokaa nao huko makao makuu.

Lakini pia hata hao wakubwa wa chama unaowateua huko juu pia hawana uzoefu na siasa za CCM ikiwemo pia kutowajua wajumbe mikoani na jinsi ya ku deal nao.

Tumewaona wakipita wakitoa matamko ya kiserikali zaidi, kuliko ya kichama.

Kwa ufupi tu niseme wazi uamuzi huu meenyekiti hukushauriwa vizuri.

Hili kundi ni kubwa sana na kuliondoa kwa wakati mmoja, ukizingatia wao pia wana mitandao yao mpaka mashinani.

2025 hiyo unayojiandalia mwenyekiti usishangae lolote usiloweza kuamini likitokea, ukizingatia kwamba hata hao wabunge ni wageni wa siasa za majukwaani.

Upinzani wa kweli ndio unaweza kuzaliwa sasa.

Kama umefanya mapinduzi kuondoa mfumo mzima wa JPM, (ingawa hii ni tafsiri isiyo rasmi).

Angalieni tusije kutana wote vijiweni.

Huenda Kwa umefanya haya kwa sababu ambazo wananchi wa kawaida hatuzijui.
Lakini kwa wananchi wengi mashinani huko site wakawa na tafsiri yao tofauti,kama watatokea wa kuwashawishi na kuwaeleza vinginevyo na wakamuamini.

Alamsikh!
Naenda kwenye mada moja kwa moja.

CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru.

Kwamba anaingia mwanachama wa chama CCM kushika wadhifa wa urais. Anashika pia wadhifa wa uenyekiti wa chama

Cheo ni dhamana. Ahadi ya 5 ya Mwana TANU na sasa CCM. Tuna tatizo kubwa nchi hii kwa sasa, watu wakiteuliwa ktk madaraka ya umma kisha wakiondolewa maneno yanakuwa mengi. Tujifunze historia ya mzee Kawawa, Msuya na hata Warioba. Waliteuliwa huku wakatupwa kule lakini, walikuwa watiifu tu.
 
CCM ni chama chenye mipango,kilichopangika na kinachoendesha mambo yake kisayansi na ndio maana kinaeleweka kwa wananchi sehemu zote mijini hadi vijijini.

#Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
#Samia 2025 -2030.
Kidumu kilisha toboka zamaaani😂.
 
CCM ni chama kikubwa na kimeandaa viongozi wengi wa kutosha hata upinzani huwa teua kwenye vyama vyao!!!Mbio za vijiti ni kupokezana tu ndugu yangu!!!kunywa maji baridi upoze hasira!!Haya mavyeo haya ni ya kupita tu wala si ya milele!!!Jipe moyo ndugu Dunia mapito tu!!!
Hili unalosema si kweli mpaka sasa bungeni mle Luna wabunge 7 ambao wameandaliwa kwenye vyama vya upinzani.

Wakuu wa wilaya watano wameandaliwa upinzani.

Manaibu waziri watatu na na waziri kamili mmoja wote zao la upinzani.

Je ccm hawakuona hao viongozi walioandaliwa ndani ya ccm hadi wanunue wapinzani na kuwapa vyeo ?
 
Halafu wengi wa wateuliwa ni wa imani moja tu. Yetu macho.
 
Naenda kwenye mada moja kwa moja.

CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru.

Kwamba anaingia mwanachama wa chama CCM kushika wadhifa wa urais. Anashika pia wadhifa wa uenyekiti wa chama

Kisha anaanza kupangua safu yoote ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka wilayani.

Hao watu unaowapangua ndio watendaji wa mashinani wanaokijua chama,kuliko hao vigogo mnaokaa nao huko makao makuu.

Lakini pia hata hao wakubwa wa chama unaowateua huko juu pia hawana uzoefu na siasa za CCM ikiwemo pia kutowajua wajumbe mikoani na jinsi ya ku deal nao.

Tumewaona wakipita wakitoa matamko ya kiserikali zaidi, kuliko ya kichama.

Kwa ufupi tu niseme wazi uamuzi huu meenyekiti hukushauriwa vizuri.

Hili kundi ni kubwa sana na kuliondoa kwa wakati mmoja, ukizingatia wao pia wana mitandao yao mpaka mashinani.

2025 hiyo unayojiandalia mwenyekiti usishangae lolote usiloweza kuamini likitokea, ukizingatia kwamba hata hao wabunge ni wageni wa siasa za majukwaani.

Upinzani wa kweli ndio unaweza kuzaliwa sasa.

Kama umefanya mapinduzi kuondoa mfumo mzima wa JPM, (ingawa hii ni tafsiri isiyo rasmi).

Angalieni tusije kutana wote vijiweni.

Huenda Kwa umefanya haya kwa sababu ambazo wananchi wa kawaida hatuzijui.
Lakini kwa wananchi wengi mashinani huko site wakawa na tafsiri yao tofauti,kama watatokea wa kuwashawishi na kuwaeleza vinginevyo na wakamuamini.

Alamsikh!
Sukuma gang
 
Back
Top Bottom