Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”
Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.
Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.
Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hati miliki ya nchi mama yangu Tanzania.
Maonyo yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”
Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM, ni sikutegemea kuyaona tena hadi siku ya kuiaga dunia.
CCM mmetufedhehesha!