Sidhani kama kuna tofauti za kumalizana, bali kuna uwajibikaji na adhabu kutolewa kwa walioanzisha haya machafuko na kutuletea msiba wa kitaifa.Umeongea mambo ya msingi san ingawa kupe watatukana san hapa! Ila ni muhimu kama chama kutafakari wapi walikosea wakae na wananchi wamalize tofaut zilizopo
Kwa kweli kutumia dola kuua vijana wadogo, watoto wetu.Ni aibu.
But Mungu yupo.
Mkuu kama hata wewe chawa umeona hili, Mungu akubariki sana.“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”
Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.
Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.
Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hati miliki ya nchi mama yangu Tanzania.
Maonyo yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”
Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM, ni sikutegemea kuyaona tena hadi siku ya kuiaga dunia.
CCM mmetufedhehesha!
We mjinga sana ambaye wala hujui kudadavua misimamo ya members.Mkuu kama hata wewe chawa umeona hili, Mungu akubariki sana.
Zile asilimia 97.66 ndiyo zimetufanya tuonekane nchi nzima hatuna akili! Maana kutwa nzima ile siku ya tarehe 29, vituo vingi vilikuwa tupu! Na vichache ndiyo vilishuhudia wapiga kura wawili watatu!
Cha kushangaza sasa baada ya matokeo kutoka, kila kituo eti kilionesha wapiga kura walijitokeza walikuwa ni 80% - 99%!! Je, walipiga kura kimiujiza!!! Hakika hii hali sijawahi kuishuhudia tangu nishiriki uchaguzi kwa mara ya kwanza 1995!
Pole mkuu kama nimekunukuu vibaya. Kusema kweli CCM na chawa wake wanakera sana. Ubarikiwe sana kwa kutokuwa kwenye kundi la chawa.We mjinga sana ambaye wala hujui kudadavua misimamo ya members.
Soma michango yangu upate akili.
Chama kimeshatoka kwenye malengo yake, si cha siasa tena bali something else“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”
Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.
Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.
Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hati miliki ya nchi mama yangu Tanzania.
Maonyo yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”
Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM, ni sikutegemea kuyaona tena hadi siku ya kuiaga dunia.
CCM mmetufedhehesha!
Ukweli mchungu sana huu. Hata baada ya tarehe 29, wenye macho wameona! Na pia wenye masikio nao wamesikia.CCM kama chama cha siasa kilikufa 2015,tangu hapo ni dola ndiyo inaibeba CCM. CCM ya sasa haiwezi kuishi bila nguvu ya dola kwa sababu haikubaliki.
Kweli kabisaChama kimeshatoka kwenye malengo yake, si cha siasa tena bali something else
Kuna quote moja huwa inasemaKweli kabisa
Hatua za mwanzo zilikuwa za kimalaika, ila ukongwe wake na uzee wake kimekuwa cha kishetani
Sure!Kuna quote moja huwa inasema
"You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain."
Kimeingiliwa sana na matajiri.Chama kimeshatoka kwenye malengo yake, si cha siasa tena bali something else
Magufuli ndio alipandikiza huu utamaduni mbaya ndani ya dola na ccm, kuwa mgombea wa ccm anaweza kutangazwa bila kujali box la kura. Hapa tulipo ni tulipoangukia, lakini tulijikwaa wakati wa Magufuli. Kama kuna jehanamu Magufuli aongezewe kuni.“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”
Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.
Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.
Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hati miliki ya nchi mama yangu Tanzania.
Maonyo yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”
Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM, ni sikutegemea kuyaona tena hadi siku ya kuiaga dunia.
CCM mmetufedhehesha!
Kwani huyu jamaa alikufanya nini hadi unashindwa kumsahau?Magufuli ndio alipandikiza huu utamaduni mbaya ndani ya dola na ccm, kuwa mgombea wa ccm anaweza kutangazwa bila kujali box la kura. Hapa tulipo ni tulipoangukia, lakini tulijikwaa wakati wa Magufuli. Kama kuna jehanamu Magufuli aongezewe kuni.
Baada ya uchaguzi 2005, baada ya hapo ni nguvu ya dola tuCCM kama chama cha siasa kilikufa 2015,tangu hapo ni dola ndiyo inaibeba CCM. CCM ya sasa haiwezi kuishi bila nguvu ya dola kwa sababu haikubaliki.