PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi ni mkweli na nadhani ninao upeo unaokusudiwa.
Hongera sana , sasa tafuna huu mfupa.
Kuna wananchi wanawatafuta wapendwao, wape neno.
Na hebi tanzua sera zinazoruhusu chama tawala kuruhusu dola kuua watu.
 
Huwezi kuwazuia watu kuwa wanachama wa CCm, huo ni uhuru wao. Ndiyo, taifa linaomboleza ila isiwe kwamba kila mwan CCm ni muuaji na anafaa auawe au adhuriwe.
Hii haitasaidia kuleta mabadiliko. Wewe uliwaona wana CCm wakimrushia mwadnamanaji yeyote mawe?
Sasa kwanini unaltaka kuleta upuuzi wa kuanza msako wa wana CCm, kwani wao hawana mikono na miguu kama yako?
Jiheshimu, usifanye wananchi wanaotaka mabadiliko, ambao kiukweli wana pointi za maana, waanze kuonekana wapuuzi na wahuni.
Usiende huko, kwa sababu kila mtu ana haki ya kujitetea, don't forget that.
 
Tupo kwenye sera, dont get personal, sera za CCM zinatetea yaliyotokea?
 
65-100= -35 kwa mtu mwenye miaka 65 kuhangaika na kazi ambayo anaona inaitengenezea maisha yake madoa ni kukosa hekima ya kimungu.mtu atahangaika muda mfupi utasikia baadaye utasikia amezikwa kwenye makaburi ya familia shambani kwao nje kwenye jua na mvua !
 
Uko kundi moja na Abdul?
Nope, mimi siyo mtu wa makundi. Sipo kwa wabeba mapanga na viberiti na sipo kwa wabeba bunduki na mabomu.
Kwangu mimi wote hao ni wapuuzi, hawastahili kuwa watanzania.
Mimi ni mwananchi wa kawaida.
 
“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”

Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.

Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.

Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hati miliki ya nchi mama yangu Tanzania.

Maonyo yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”

Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.

Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM, ni sikutegemea kuyaona tena hadi siku ya kuiaga dunia.

CCM mmetufedhehesha!
Sana yaani Jina la Tanzania limechafuliwa na haya majangili yanayo ng'ang'ania madaraka na Wezi na rasilimali za Nchi..
 
Nope, mimi siyo mtu wa makundi. Sipo kwa wabeba mapanga na viberiti na sipo kwa wabeba bunduki na mabomu.
Kwangu mimi wote hao ni wapuuzi, hawastahili kuwa watanzania.
Mimi ni mwananchi wa kawaida.
Mimi mwana CCM na nimechukizwa sana na matukio haya yanayotokana na kutoheshimu maoni na matarajio ya watu wengine.
Kunapoanza kutokea vikundi vya kushinikiza/kulazimisha wengine wakubaliane nawe nje ya vikao vinavyoeleweka, haya ndio matokeo yake .
Na lazima watu waliotufikisha hapa wawajibike, hata wawe nani.
Kuwajibika ni pamoja na kujiuzulu, mzee Ruksa alionyesha mfano mzuri.
 
Huwezi kuwazuia watu kuwa wanachama wa CCm, huo ni uhuru wao. Ndiyo, taifa linaomboleza ila isiwe kwamba kila mwan CCm ni muuaji na anafaa auawe au adhuriwe.
Hii haitasaidia kuleta mabadiliko. Wewe uliwaona wana CCm wakimrushia mwadnamanaji yeyote mawe?
Sasa kwanini unaltaka kuleta upuuzi wa kuanza msako wa wana CCm, kwani wao hawana mikono na miguu kama yako?
Jiheshimu, usifanye wananchi wanaotaka mabadiliko, ambao kiukweli wana pointi za maana, waanze kuonekana wapuuzi na wahuni.
Usiende huko, kwa sababu kila mtu ana haki ya kujitetea, don't forget that.
umeulizwa kitu kingine umejibu kitu kingine au ndiyo upeo wenyewe
 
Nimeelewa swali kuliko ubongo wako mdogo ulivyolielewa. Na nimelijibu vizuri kwa ji si mimi nilivyo.
Swali: Wewe upo kundi la Abdul?
Jibu: Nope, nikimaanisha hapana.
Nikaenda mbele zaidi ku.wambia mimi ni mtu wa aina gani. Yaani sina upande kama watanzania wengi walivyo. Hawaungi mkono upande wa wezi wa nondo, mapanga na viberiti wala wezi wenye bunduki na mabomu.
Usichoelewa hapo ni nini?
 
Tulichelewa kujua abdul alianza kuwaf¥ra muda mrefu sana nyie
 
Back
Top Bottom