Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Simply, CCM, ijisahihishe au isahihishwe na historia.Usijarabu sasa tunakumaliza kimya kimya na hakuna hata panya na mbwa anaweza kutoa ushirikiano na afande makalio wa burundi muriro.
Kila foreigner aliyepata habari za machafuko (yaliyoanza 29 October 2025) na baadaye kuona matokeo yaliyotangazwa na INEC anafikia hitimisho kwamba Tanzania iko chini ya mafia group. Aina hiyo ya matokeo na machafuko yaliyoyatangulia havipikiki chungu kimoja. Ni incompatible!“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”
Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.
Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ha uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.
Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hatinmiliki ya mama yangu Tanzania.
Maonyo ha yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”
Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM.
CCM mmetufedhehesha!
Chama kimeanza kusheheni viongozi wenye biashara, viongozi ambao muundo wa chama na serikali kulinda biashara zao.CHAMA CHA MAPINDUZI(Mapinduzi)
Umeongea mambo ya msingi san ingawa kupe watatukana san hapa! Ila ni muhimu kama chama kutafakari wapi walikosea wakae na wananchi wamalize tofaut zilizopo“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”
Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.
Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.
Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hati miliki ya nchi mama yangu Tanzania.
Maonyo yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”
Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM, ni sikutegemea kuyaona tena hadi siku ya kuiaga dunia.
CCM mmetufedhehesha!
Polepole alisema mifumo ya Inec na NIDA imeunganishwa ili kuforge numbers kama hizo.Zile asilimia 97.66 ndiyo zimetufanya tuonekane nchi nzima hatuna akili! Maana kutwa nzima ile siku ya tarehe 29, vituo vingi vilikuwa tupu! Na vichache ndiyo vilishuhudia wapiga kura wawili watatu!
Cha kushangaza sasa baada ya matokeo kutoka, kila kituo eti kilionesha wapiga kura walijitokeza walikuwa ni 80% - 99%!! Je, walipiga kura kimiujiza!!! Hakika hii hali sijawahi kuishuhudia tangu nishiriki uchaguzi kwa mara ya kwanza 1995!
The dots wilk soon be expsed.......
Zile asilimia 97.66 ndiyo zimetufanya tuonekane nchi nzima hatuna akili! Maana kutwa nzima ile siku ya tarehe 29, vituo vingi vilikuwa tupu! Na vichache ndiyo vilishuhudia wapiga kura wawili watatu!
Cha kushangaza sasa baada ya matokeo kutoka, kila kituo eti kilionesha wapiga kura walijitokeza walikuwa ni 80% - 99%!! Je, walipiga kura kimiujiza!!! Hakika hii hali sijawahi kuishuhudia tangu nishiriki uchaguzi kwa mara ya kwanza 1995!
CCM sa ni uchochoro wa mafisadi.“Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu”
Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu.
Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake.
Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka nyuma ya kuvuli cha dola, ikawa kama mbuni aliyeficha kichwa mchangani , huku mwili unaonekana wazi.
Tuliyoyaona yangeweza kuepukika kwa majadiliano na mazungumzo kisiasa, hakuna mwenye hati miliki ya nchi mama yangu Tanzania.
Maonyo yaliyotokea yalikuwa wazi, pengine ni ile kibri ya kujisemea, “watatufanya nini”
Sasa hivi nina aibu ya kuvaa hata gwanda langu na shati ya kijani, kwa heshima ya damu iliyomwagika tarehe 29 Oktoba 2025.
Mimi mtu mzima, na 1964, niliyaona haya hapa DSM, ni sikutegemea kuyaona tena hadi siku ya kuiaga dunia.
CCM mmetufedhehesha!
Invincible ink.....The dots wilk soon be expsed.
Yaliyotokea ni challenge to the ruling class. Mchanganuo wa kiini cha matatizo usipofanyika na kupatiwa ufumbuzi, yanaweza tokea tena.