PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ccm nimerithishwa kwa wazaz, wazaz wangu ni makada ila kwa huu mwaka yaliyotokea, so 😔

We need changes🙌🙌
 
Umeongea mambo ya msingi san ingawa kupe watatukana san hapa! Ila ni muhimu kama chama kutafakari wapi walikosea wakae na wananchi wamalize tofaut zilizopo
Sidhani kama kuna tofauti za kumalizana, bali kuna uwajibikaji na adhabu kutolewa kwa walioanzisha haya machafuko na kutuletea msiba wa kitaifa.
 
Mkuu kama hata wewe chawa umeona hili, Mungu akubariki sana.
 
CCM kama chama cha siasa kilikufa 2015,tangu hapo ni dola ndiyo inaibeba CCM. CCM ya sasa haiwezi kuishi bila nguvu ya dola kwa sababu haikubaliki.
 
Hata kama vituo vingejaa na kufurika na watu wakapiga kura kihalali kabisa wangewezaje kuhesabu kura milioni 31 karatasi kwa karatasi in 24hrs? Labda kama zilikua na barcode na computer system ya kuhesabu na kuhakiki!

Jaji kajidhalilisha sana kupokea maelekezo ya kikwete na mchengelwa, na degree zao za jalalani za makarai!
 
Chama kimeshatoka kwenye malengo yake, si cha siasa tena bali something else
 
Naunga mkono.

Tunaonekana chama wauaji, na yule dogo Kihongosi ile barua aliyotoa baada ya kikao cha Nec ndio kabisa kaharibu, chama hakina majuto kana kwamba yametokea mauaji ya sisimizi.

Watu wapo tayari kuua ili kubaki madarakani, nakililia chama changu kimekosa busara na wazee, kina watu wenye miemko na wamekosa utu.
 
CCM kama chama cha siasa kilikufa 2015,tangu hapo ni dola ndiyo inaibeba CCM. CCM ya sasa haiwezi kuishi bila nguvu ya dola kwa sababu haikubaliki.
Ukweli mchungu sana huu. Hata baada ya tarehe 29, wenye macho wameona! Na pia wenye masikio nao wamesikia.
 
Chama kimeshatoka kwenye malengo yake, si cha siasa tena bali something else
Kweli kabisa

Hatua za mwanzo zilikuwa za kimalaika, ila ukongwe wake na uzee wake kimekuwa cha kishetani
 
Chama kimeshatoka kwenye malengo yake, si cha siasa tena bali something else
Kimeingiliwa sana na matajiri.
Niishangazwa pale matajiri walipoombwa kuchangia CCM Bilioni 100.
Matajiri hao walichangia chap chap na hela ikatimia siku moja tu, dalili kuwa sasa "wenyewe" wa chama si walala hoi !!!
 
Magufuli ndio alipandikiza huu utamaduni mbaya ndani ya dola na ccm, kuwa mgombea wa ccm anaweza kutangazwa bila kujali box la kura. Hapa tulipo ni tulipoangukia, lakini tulijikwaa wakati wa Magufuli. Kama kuna jehanamu Magufuli aongezewe kuni.
 
Kwani huyu jamaa alikufanya nini hadi unashindwa kumsahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…