PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kiongozi anapata asilimia 98 ya kura,kura Milioni 31 anayemfuatia CHAUMA kura laki mbili lakini uapisho unafanyika viwanja vya jeshi na comment zinafungwa kwanini asijumuike na wananchi waliomchagua?
 
Mafia group na ujinga?
Wamesahau hata msemo wa wahenga Ukila na kipofu usimshike mkono?
Wamechafua taifa kwa ujumla. CCM ingeshinda tu na rais angepata hata 51% ni ushindi.
 


CCM ni chama cha shetani. Wametoa kafara sasa wanajipongeza kwa ushindi wa uchaguzi

CCM ni li chama la shetani, wametoa kafara za watoto, vijana, wachungaji na wababa wanaozidi 1000 na wamekutana kujipongeza. Chama la shetani hasa
 
Sidhani kama Kikwete na Mchengerwa wanaweza kutoa maelekezo ya 97.66%
Ni upumbavu tu wa jaji na timu yake kujipendekeza, wakamharibia waliyefikiri wanamsaidia na kuliaibisha taifa kwa ujumla.
 
Sidhani kama Kikwete na Mchengerwa wanaweza kutoa maelekezo ya 97.66%
Ni upumbavu tu wa jaji na timu yake kujipendekeza, wakamharibia waliyefikiri wanamsaidia na kuliaibisha taifa kwa ujumla.
Wanahusika 100%, na ndio maana wananchi wamechoma biashara zao.
Watanzania si wajinga.
 
Chama cha magaidi!
 
Sidhani kama Kikwete na Mchengerwa wanaweza kutoa maelekezo ya 97.66%
Ni upumbavu tu wa jaji na timu yake kujipendekeza, wakamharibia waliyefikiri wanamsaidia na kuliaibisha taifa kwa ujumla.
Simaanishi hawahusiki, ila nina shaka na wao kuwa wajinga kiasi cha kuelekeza ushindi wa 97.66%
Kwa akili ya kawaida wangeamua ushindi wa asilimia chini zaidi.
 
Wanahusika 100%, na ndio maana wananchi wamechoma biashara zao.
Watanzania si wajinga.
Hoja yangu hapa ni rahisi kwa kutumia akili ya kawaida.
Tume ya uchaguzi siyo mbwa ambaye atafuata maelekezo bila kufikiria. Kama ni hivyo, kwa nini tuwe na watumishi wa namna hii kwenye ofisi za uma?
Hapa ndipo mzizi wa tatizo ulipo.
Huu uchafu wote unaochafua taifa na hata viongozi wakuu wa nchi unaanzia hapa. Hatutakiwi kuwa na akili za wanyama kwenye ofisi za uma.
Hata kama walitaka kufuata maelekezo ya wanasiasa, walitakiwa kufanya katika hali ya kutumia akili ya kawaida isiyosababisha madhara.
Wanaojisifu walimsaidia rais na watu wake kwa ujumla ni wapumbavu tu.
Tufanye Mambo kwa haki na ionekane ikitendeka maisha yaendelee watu wakiwa wamoja walioridhika.
Yanahitajika mabadiliko ya kuondoa wapumbavu kwenye vyama vya siasa, serikali na watumishi wote wa Uma.
 
You are wrong , dead wrong.
Jaji, tena wa Mahakama ya Rufaa, hawezi kufanya uozo uliooneka a bila maagizo.
Inasemejana Jaji Mwambegeke ni mtu wa kitengo.
Uozo uliofanyika hata mpumbavu hawezi kufanya.
 
You are wrong , dead wrong.
Jaji, tena wa Mahakama ya Rufaa, hawezi kufanya uozo uliooneka a bila maagizo.
Inasemejana Jaji Mwambegeke ni mtu wa kitengo.
Uozo uliofanyika hata mpumbavu hawezi kufanya.
Anayefuata maagizo bila kutumia akili, apange watu wake wasifanye uozo utakaomharibia yeye na waliompatia maagizo, basi ni mpumbavu. Sasa hicho kinachoitwa kitengo ndicho kinachotakiwa kuwa na watu smart. Kama jaji hawezi kufanya uozo, sawa amekuwa victim of circumstances, arekebishe watu wake, ili yaliyotokea yasijirudie.
Anatakiwa pia akiri kuwepo kwa makosa ili iwe fundisho kwa wote watakaochukua nafasi yake hapo baadaye.
 
Tukubali tu, kuwa nchi inaendeshwa na watu wenye mapungufu makubwa!
 
CCM hivi hata mnafanya projection ya future kweli? Analysts wenu wanasemaje juu ya kuja kuwaongoza GenZ na watoto wa GenZ wakati huo sisi bibi zao ni millennials?

So far mbinu ya sasa ni chama kuwa cha ukoo na machawa kama wafuasi wa chama. Hii itafanya kazi miaka kadhaa ijayo?
 
CCM wameiuza Tanganyika utumwani kwa Zanzibar . Leo hii Wazanzibari wanaua makumi ya maelfu ya Watanganyika ili Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala na kuibagaza Tanganyika yetu.
 
Sijui kama kwa matukio haya yaliyotokea, kama kuna watu ndani ya CCM wenye upeo wa kuona mbele.
Hili ni wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…