Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.