mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mwambie huyoKelele za chura hazijawahi mnyima ng'ombe kunywa maji
View attachment 1783837
Serikali ni ileile ya CCM sasa chini ya Ironlady zao halisi la JPM
Kazi iendelee
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie huyoKelele za chura hazijawahi mnyima ng'ombe kunywa maji
View attachment 1783837
Serikali ni ileile ya CCM sasa chini ya Ironlady zao halisi la JPM
Kazi iendelee
Musiba Ni Nani anakutuma?Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara
kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka
makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo
mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Tunajua wewe sio Sabaya, tunafahamu Sana wewe Ni Musiba na unajiita Veronica France kule Facebookmm wala si Sabaya ni kada mtiifu wa CCM
Kumbuka hata mama aliteswa na mwenda zake ikizingatiwa kuwa alikuwa pale kupokea amri na siyo kutoa ushauri. Cha mno alijikaza kisabuni na kumuachia Mungu hadi alipopewa ukanda. Wengi walikuwa hata hawamheshimu kama makamu wa rais kwa vile walikuwa karibu na Jiwe. Mfano mdogo ni Dk Bashiru Ally Kakurwa na Humphrey Polepole. Hata hivyo, mama yenu ana huruma maana hawa asingewabakiza hata bungeni. Angewapangia kazi ya kukaa vijijini mwao.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara
kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka
makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo
mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Mkuu, you sound as if you are Ole Sabaya himself. Lazima utambue uzito wote wa gari wenye vyuma vingi huegemea chini kwenye matairi yaliyotengezwa kwa mpira kwa sababu maalum.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara
kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka
makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo
mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Sabaya ulionywa sana ukakaza shingo,unavuna ulichopanda,na kwa taarifa ni kuwa jela inakuhusu. Wewe si ukiwateka watu ukaua,ukanyang'anya na wengine ukawalawiti,sasa zamu yako ya kulawitiwa imefika.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara
kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka
makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo
mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Kama vile kuna kaukweli kwa kwa mbaliiiNimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara
kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka
makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo
mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara
kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka
makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo
mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Nani kakwambia CCM inashinda kupitia box la kura?.....Hii nchi ni mali ya CCM na CCM inawajulia Watanzania...Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
Ni mtanzania mwendawazimu tu ndo angemnyima kura JPM, hizi multiple accounts za wenye vyeti feki, mafisadi na wauza ngada sio the majority, walitukana sana then na wako wakitukana sasa ili kuwawin wapiga kura wa JPM wenye hasira na yanayoendelea sasa.Nani kakwambia CCM inashinda kupitia box la kura?.....Hii nchi ni mali ya CCM na CCM inawajulia Watanzania...
Unasahau zile chaguzi za awamu ya Tano, hamkuona watu walivyodhulumiwa?, mbona hamkusimama na kuwatetea? yale mabox ya kura 2015 hamkuyaona?...
Haha, nguvu kutoka kaburini? Acha kujilisha ujinga, marehemu ashasahaulika, watu wanasonga mbele. Alikuwepo Nyerere, alikufa na watu wakamove forward, sembuse hilo fisadi lenu ambalo kakirusi kamafua tu kamemlaza futi 6 chini?Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
Pole ndugu, haupo peke yako unayeumizwa na huyu mama! Mama ni MSWAHILI WA TOWN! Anaongoza nchi kishikaji kwa kuangalia hadhira ya mtandaoni akidhani watanzania wote wako huko! Binafsi najishangaa ghafla nimepoteza hata hamu ya kufaatilia hotuba za Rais achilia mbali kuangali taarifa za habari TBC, maana kila anachofanya naona mama anapambana na Mwenda zake!Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote