CCM mnajua kunivuruga. Niliwapenda, niliwakubali lakini sasa inatosha

Nisamehe mpenzi. Vihasira vikichanganyika na K Vant huleta matatizo kwenye medulla...

Nisamehe hata kama hutanisahau basi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua babuuh umenichekesha sana wee, uzee huo unapiga K Vant? Utakuja upate matatizo ya akili shauri yako, wee inabidi utumie Heineken,

Nishakusamehe muda sana, na siwezi kukusahau grand papah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.

Michepuko ya bwana ole ina kilio kama chako. Wengine ni ile ya akina bashiri na chakubanga.

Au na wewe umo humo?
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.

Kunywa maji kwanza uelezee amekugeuka vipi wewe mpiga kura wa CCM?
 
Chozi la Taga Mbobezi huwa ni Tamu sana😂😂😂
 
Pole ndugu, haupo peke yako unayeumizwa na huyu mama! Mama ni MSWAHILI WA TOWN! Anaongoza nchi kishikaji kwa kuangalia hadhira ya mtandaoni akidhani watanzania wote wako huko! Binafsi najishangaa ghafla nimepoteza hata hamu ya kufaatilia hotuba za Rais achilia mbali kuangali taarifa za habari TBC, maana kila anachofanya naona mama anapambana na Mwenda zake!
Tulia... Mama na Magufuli ni kitu kimoja.

Na Mataga mkashangilia kweli na meno yote 32 mkatoa nje...
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
Kama una maumivu Makali ZAA/Jifungue tatizo moja bado mna akili za babu yenu Jei Pi Emuu
 
Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
mzima akili wewe?
 
Hilo sio la kuuliza.... ni utawala wa awamu ya 6 chini ya Ironlady SSH zao halisi la mwendazake

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

Kazi iendelee
Huyu iron lady anafaa mikumi zaidi sio yule feki wa mitano
 
We Msukuma mtu wa ajabu sana! JPM ni nani?
 
Zao halisi la mwendazeke lisingemtengua jambazi Sabaya
Hilo sio la kuuliza.... ni utawala wa awamu ya 6 chini ya Ironlady SSH zao halisi la mwendazake

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

Kazi iendelee
 
Huyu iron lady anafaa mikumi zaidi sio yule feki wa mitano

Ironlady ni original ya JPM na kwa pamoja tunasema mikumi na tano.... Mungu ampe afya tuu
Wa kuitoa CCM madarakani hadi sasa hawapo, na kama watatokea kujaribu wajipange sanaaaa
 
Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
Sahau kabisa habari ya nguvu ya JPM. Hana madhara tena huyo. Angekua nayo basi misukule yake isingehangaika hivi. Yeye kafa na kila kitu chake, sio legacy sio nguvu.
 
Back
Top Bottom