CCM mnajua kunivuruga. Niliwapenda, niliwakubali lakini sasa inatosha

Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara

kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka

makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo

mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Leo ndio umekili Magufuli alishinda kwa Mbinde. 2020 ndio kabisa asingeshinda. Mungu kqmnyanganya urais aliokuwa hastahili Kampa Mama.
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara

kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka

makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo

mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
I Cyprian Musiba ukome kumtetea yule Mwendazake mwizi, mwongo, muuaji na mkandamiza demokrasia
 
Kwaiyo unataka mama hasiwashughulikie majambazi wenzio kina Sabaya
 
Mkuu siyo kweli kwamba mheshimiwa rais anafuata ushauri wa mitandaoni.
Rais ana vyombo vyake madhubuti vinavyompelekea taarifa sahihi.
Watanzania wameumia sana, tumechoka, acha mama afanye kazi tupate faraja.
Kama upo serikalini jitahidi kutumikia jamii kwa uadirifu maana huijui kesho yako.
 
Wewe Sabaya ni mpuuzi...kwahyo unataka utumie cheo ujiachie kufanya uharifu wenu huru kabisaa

Mama Samia kaza kabisa mpaka mataga waende wakajiajiri waache kutegemea posho
 
KILIO CHA YATIMA by Ali Choki & The Band [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara

kweli magufuli alishinda kwa mbinde sana lkn cha kushangaza kabisa walimgeuka

makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa ss tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mm binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipgania Chama bila malipo

mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nn mama unatufanyia hivi ss wanao tumekukosea nn mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Wewe ulilipenda Jiwe siyo CCM
 
Back
Top Bottom