[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee mom kumbe mpana hivi?Shoga una hasiraaaaaa
Kama vile nimenyang'anya mume kumbe bado ni Mwamba anakuwewesesha[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua babuuh umenichekesha sana wee, uzee huo unapiga K Vant? Utakuja upate matatizo ya akili shauri yako, wee inabidi utumie Heineken,Nisamehe mpenzi. Vihasira vikichanganyika na K Vant huleta matatizo kwenye medulla...
Nisamehe hata kama hutanisahau basi...
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.

Tulia... Mama na Magufuli ni kitu kimoja.Pole ndugu, haupo peke yako unayeumizwa na huyu mama! Mama ni MSWAHILI WA TOWN! Anaongoza nchi kishikaji kwa kuangalia hadhira ya mtandaoni akidhani watanzania wote wako huko! Binafsi najishangaa ghafla nimepoteza hata hamu ya kufaatilia hotuba za Rais achilia mbali kuangali taarifa za habari TBC, maana kila anachofanya naona mama anapambana na Mwenda zake!
Kama una maumivu Makali ZAA/Jifungue tatizo moja bado mna akili za babu yenu Jei Pi EmuuNimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
mzima akili wewe?Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
Huyu iron lady anafaa mikumi zaidi sio yule feki wa mitanoHilo sio la kuuliza.... ni utawala wa awamu ya 6 chini ya Ironlady SSH zao halisi la mwendazake
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Kazi iendelee
Sukuma gang, na bado washezi wakubwa sana nyie. Mama SSH songa mbele upo na umma wa wote TZMama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
We Msukuma mtu wa ajabu sana! JPM ni nani?Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
Hilo sio la kuuliza.... ni utawala wa awamu ya 6 chini ya Ironlady SSH zao halisi la mwendazake
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Kazi iendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee mom kumbe mpana hivi?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Thubutuuuuuu..... walitunguliwa Lugola na Kitwanga itakuja kuwa huyu Sabaya🙄🙄🙄Zao halisi la mwendazeke lisingemtengua jambazi Sabaya
Kelele za chura hazijawahi mnyima ng'ombe kunywa maji
View attachment 1783837
Serikali ni ileile ya CCM sasa chini ya Ironlady zao halisi la JPM
Kazi iendelee
Hapana boo..yuko right kbs...kabisa kabisaBabuuuh acha kumdhihaki mwendazake, hata km hukupendezwa nae, basi tumia hekima na busara ktk kuonesha chuki nae, sorry lakini.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Huyu iron lady anafaa mikumi zaidi sio yule feki wa mitano
Sahau kabisa habari ya nguvu ya JPM. Hana madhara tena huyo. Angekua nayo basi misukule yake isingehangaika hivi. Yeye kafa na kila kitu chake, sio legacy sio nguvu.Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.