Pre GE2025 CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

Pre GE2025 CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.

Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.

Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.

Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
 
Tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza.

Yani ukimfikiria, ukimkumbuka, ukimtaja, anaendelea kuishi katika mawazo yako.

Labda wanataka Magufuli aendelee kuishi katika mawazo ya watu.

"No one is finally dead until the ripples they cause in the world die away, until the clock wound up winds down, until the wine she made has finished its ferment, until the crop they planted is harvested. The span of someone’s life is only the core of their actual existence."

Terry Pratchett, Reaper Man (Discworld, #11; Death, #2)
 
Hawana lengo BAYA ila wanacho sisitiza ni kwamba tuwe macho Na uchaguzi ujao. Hisia zetu tusizipeleke kwenye chama ila tuangalie nani anafaa kuwa Raisi. In short lengo ni tuchague jembe kama magi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Au wewe unawaelewa???

Maana mapichapicha ya video Sasa imekuwa kama dozi!!

Mara wanatengeneza mabango ya kumsifia kila siku hadi sielewi...

Sioni wakifanya harakati kama hizo Kwa Samia Suhulu Hassan ambaye ndiyo wanategemea awe mgombea wao 2025.
Huwezi sifia mtu ambaye Hana mapenzi na taifa.
NB: Wa Sasa SI mzalendo
 
Back
Top Bottom