Pre GE2025 CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Au wewe unawaelewa???

Maana mapichapicha ya video Sasa imekuwa kama dozi!!

Mara wanatengeneza mabango ya kumsifia kila siku hadi sielewi...

Sioni wakifanya harakati kama hizo Kwa Samia Suhulu Hassan ambaye ndiyo wanategemea awe mgombea wao 2025.
Fanya na wewe kwa samia.
 
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.

Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.

Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.

Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Ni wasukuma wenzake pamoja na baadhi ya wapumbavu na chawa wake wa kipindi hicho sukumagang pamoja na mataga
 
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.

Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.

Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.

Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Magufuli is a bygone case. Ni nyinyi tu misukule wake mnaota ndoto.

Na wala nchi hii haitatokea tena DUBWASHA lenye haiba kama ya Magufuli kuiongoza nchi hii. Mungu mwenyewe atazuia kama alivyomwondoa Magufuli original
 
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.

Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.

Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.

Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Mkuu umesahau kwamba legacy haifi hasa kwa watenda mema, na ndio maana kamwe hatutawasahau Nyerere na Magufuli tutawasimulia na kuwaambia hata vitukuu vyetu yale mazuri waliyoyatendea nchi hii na watu wake ,kule Marekani bado George Washington anakumbukwa! na hata kwenye muziki bado tunamkumbuka Bob Marley japo hayupo nasi na muziki wake unapendwa na hata waliozaliwa majuzi. Kama unachukia kutajwa Magufuli basi utapata BP bure, ukitaka kusifiwa kila wakati tenda mema kwa jamii yako.
 
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.

Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.

Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.

Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??

Mama kizimkazi ,mitano tena na hapa ipo.
 
Wanainchi washachoka na utawala uliopo. Wao wanapeleka ujumbe kwamb kilichopo saivi hawakitambui
Yani ni bola mwenda zake kuliko huyu wa sasa.
Wacha kuwasemea watu maneno ya uwongo. Samia yupo hadi 2030.Rais Samia ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwake.

Uongozi siyo maguvu, chuki na matusi Bali ni hekima, busara na upendo.

Wanaomchukia SSH ni waabudu mungu mtu wa Chato tuliyemfukia mwaka juzi mwezi Mach
 
Hizo kampeni anazifanya mama yako au nani?
Huwezi futa legacy ya JPM kwa kumfananisha na huyu mama yenu anayeongozwa kwa Remote!
Magufuli alikuwa Rais sahihi wa kuisafisha nchi hii.
Unasafisha nchi kwa kupora vya usiowapenda?! Sijawahi kuamini kiongozi ni mzuri eti kisa anakomoa wasioamini falsafa zake.
 
Wacha kuwasemea watu maneno ya uwongo. Samia yupo hadi 2030.Rais Samia ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwake.

Uongozi siyo maguvu, chuki na matusi Bali ni hekima, busara na upendo.

Wanaomchukia SSH ni waabudu mungu mtu wa Chato tuliyemfukia mwaka juzi mwezi Mach
nchi iko salama sababu hawaswagi na kuwawajibisha wajinga na wazembe kama wewe.
 
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.

Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.

Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.

Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Kwani kumtaja Nyerere kila mara kunamfanya awe mgombea?
 
Back
Top Bottom