Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa hiyo na wewe umeamua uungane nao kwa kuja kutangaza hapa jukwaani?Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.
Au wewe unawaelewa???ππππ
JPM alikuwa rais bora ndio maana bado anatajwa na wengi, au nasema uongo ndugu yangu.?ππππ
Hapo nimetangaza nini...Kwa hiyo na wewe umeamua uungane nao kwa kuja kutangaza hapa jukwaani?
Hoja siyo kutajwa, Bali ni kwa nini Kuna harakati kubwa Sana zinazofanana na Kampeni??JPM alikuwa rais bora ndio maana bado anatajwa na wengi, au nasema uongo ndugu yangu.?
Huwezi sifia mtu ambaye Hana mapenzi na taifa.Au wewe unawaelewa???
Maana mapichapicha ya video Sasa imekuwa kama dozi!!
Mara wanatengeneza mabango ya kumsifia kila siku hadi sielewi...
Sioni wakifanya harakati kama hizo Kwa Samia Suhulu Hassan ambaye ndiyo wanategemea awe mgombea wao 2025.
Lakini ndiye aliyepo. Lengo la kumsifia Marehemu na kumfanyia harakati kama za Kampeni ni nini??NB: Wa Sasa SI mzalendo
Umesoma ulichoandika.? πHoja siyo kutajwa, Bali ni kwa nini Kuna harakati kubwa Sana zinazofanana na Kampeni??
Kuna nini nyuma ya Pazia??
Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Ukimkumbuka mtu ndiyo ufanye harakati kama za Kampeni??Mtanikumbuka πππ₯
Wewe vipi??Umesoma ulichoandika.? π
SawaWewe vipi??
Harakati na kutajwa ni kitu kimoja???
Au hujui maana ya Harakati??
Bado hujajibu hoja... Kukumbuka yaliyopita hakuwezi kuwa Sawa na Harakati za kuonesha huyu ndiye anafaa.βThose who cannot remember the past are condemned to repeat it.ββββGeorge Santayana, The Life of Reason, 1905. From the series Great Ideas of Western Man.
Wanainchi washachoka na utawala uliopo. Wao wanapeleka ujumbe kwamb kilichopo saivi hawakitambuiLakini ndiye aliyepo. Lengo la kumsifia Marehemu na kumfanyia harakati kama za Kampeni ni nini??