Pre GE2025 CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hoja siyo kutajwa, Bali ni kwa nini Kuna harakati kubwa Sana zinazofanana na Kampeni??

Kuna nini nyuma ya Pazia??
Hizo kampeni anazifanya mama yako au nani?
Huwezi futa legacy ya JPM kwa kumfananisha na huyu mama yenu anayeongozwa kwa Remote!
Magufuli alikuwa Rais sahihi wa kuisafisha nchi hii.
 
Uko sawa mkuu

Lakini kwa nini ni yeye tu aendelee kukumbukwa
 
Binafsi nimekuwa nikiwaza, ni namna gani tumpate wa angalao mwenye mfanano na hayati JPM ili atusogeze mbele tena kama nchi
 
Thanks for this piece of info
 
Ngurukia umeionaje, umeielewaje na kama umeikubali umeikubali vipi hiyo nukuu?
Inatafakarisha mno. Wengi tunaamini ukomo wa maisha yetu ni kifo. Lakini kiuhalisia kifo ni ukomo wa uhai (physical existance) ila uwepo wetu unaendelea katika mambo mengi mno.

Mathalan mimi simjui babu wa babu yangu lakini fact kwamba mimi nipo (nimezaliwa) ni wazi alama ya kuwa alikuwepo haitofutika, hata ikiwa si kimatamshi ila kinadharia ipo.

Uwepo wetu una mwanzo tu, hauna mwisho.
 
Ujumbe mzuri sana

Naiscreenshot hii reply yako mkuu
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
So thoughtful
 
Akili kubwa hapo wanatumia kumpoteza mama

Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
 
Hata kama niivyo, ndiyo wengine wadiriki kusema kuwa DAB au Tapeli gwajiboy wanafaa kuongoza nchi?? Tumefikia huko??
Shida yote hii inasababishwa na huyo alieko amekua mbayuwayu hatulii kiotani hivyo anasababisha wafuasi wake kukosa habari ya kuandika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lengo ni kura za kanda ya ziwa wala hawana lolote
 
Au wewe unawaelewa???

Maana mapichapicha ya video Sasa imekuwa kama dozi!!

Mara wanatengeneza mabango ya kumsifia kila siku hadi sielewi...

Sioni wakifanya harakati kama hizo Kwa Samia Suhulu Hassan ambaye ndiyo wanategemea awe mgombea wao 2025.
Huyo samia ndiyo nani tena wengine atumjui au ni yule aliye nunua pichu za halili dubai kwa mamilioni ya shilingi pamoja na saa 6 ambazo kila moja ni mil zaidi ya mil 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…