yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Fanya na wewe kwa samia.Au wewe unawaelewa???
Maana mapichapicha ya video Sasa imekuwa kama dozi!!
Mara wanatengeneza mabango ya kumsifia kila siku hadi sielewi...
Sioni wakifanya harakati kama hizo Kwa Samia Suhulu Hassan ambaye ndiyo wanategemea awe mgombea wao 2025.

Ni wasukuma wenzake pamoja na baadhi ya wapumbavu na chawa wake wa kipindi hicho sukumagang pamoja na matagaNi kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.
Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.
Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.
Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Kwahiyo magu ndio alikuwa mzalendo?Huwezi sifia mtu ambaye Hana mapenzi na taifa.
NB: Wa Sasa SI mzalendo
Wanamnadi sana jiwe ili afe tena.Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Magufuli is a bygone case. Ni nyinyi tu misukule wake mnaota ndoto.Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.
Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.
Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.
Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Mkuu umesahau kwamba legacy haifi hasa kwa watenda mema, na ndio maana kamwe hatutawasahau Nyerere na Magufuli tutawasimulia na kuwaambia hata vitukuu vyetu yale mazuri waliyoyatendea nchi hii na watu wake ,kule Marekani bado George Washington anakumbukwa! na hata kwenye muziki bado tunamkumbuka Bob Marley japo hayupo nasi na muziki wake unapendwa na hata waliozaliwa majuzi. Kama unachukia kutajwa Magufuli basi utapata BP bure, ukitaka kusifiwa kila wakati tenda mema kwa jamii yako.Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.
Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.
Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.
Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.
Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.
Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.
Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Wacha kuwasemea watu maneno ya uwongo. Samia yupo hadi 2030.Rais Samia ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwake.Wanainchi washachoka na utawala uliopo. Wao wanapeleka ujumbe kwamb kilichopo saivi hawakitambui
Yani ni bola mwenda zake kuliko huyu wa sasa.
Unasafisha nchi kwa kupora vya usiowapenda?! Sijawahi kuamini kiongozi ni mzuri eti kisa anakomoa wasioamini falsafa zake.Hizo kampeni anazifanya mama yako au nani?
Huwezi futa legacy ya JPM kwa kumfananisha na huyu mama yenu anayeongozwa kwa Remote!
Magufuli alikuwa Rais sahihi wa kuisafisha nchi hii.
Ni kweli, alikuwa ni mchapakazi anayetumia nguvu kuliko akili.Ukiachana na Mapungufu mengine Jamaa alikuwa anapiga kazi
nchi iko salama sababu hawaswagi na kuwawajibisha wajinga na wazembe kama wewe.Wacha kuwasemea watu maneno ya uwongo. Samia yupo hadi 2030.Rais Samia ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwake.
Uongozi siyo maguvu, chuki na matusi Bali ni hekima, busara na upendo.
Wanaomchukia SSH ni waabudu mungu mtu wa Chato tuliyemfukia mwaka juzi mwezi Mach
Inakuuma nn? Au na ww ulihusikaππππ
Kwani kumtaja Nyerere kila mara kunamfanya awe mgombea?Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.
Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku kunakuwa na habari za Hayati Pombe John Magufuli mitandaoni.
Ni kama vile wanatushawishi tuone ubora wake na achaguliwe kwenye uchaguzi ujao.
Magufuli alishafariki, Sasa hizo harakati za mitandaoni kumnadi lengo lake ni nini hasa!!??
Harakati na kutajwa kunafanana??Kwani kumtaja Nyerere kila mara kunamfanya awe mgombea?
Imenenwa waache wafu wawazike wafu wao..Harakati na kutajwa kunafanana??
Na Kuna baadhi ya watu wanataka aabudiwe...Imenenwa waache wafu wawazike wafu wao..
Mtu ashatangulia huko, lakini leo amekuwa kama zimwi kwa namna wanavyomuhofia