CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

Watanzania msameheni yule Bibi alikuwa kalewa posho za bunge na korosho...
 
Haya ni majibu ya kipuuzi kabisa. ATCL wanaingia kwenye mipasho na wabunge wa CCM walioligeuza bunge kuwa dangulo.... aibu.

ATCL wanapaswa kujifunza kuendesha shirika kwa faida. Kama faida ipo, hata wangeweka nyani kama wahudumu hakuna tatizo.

Tatizo kubwa sana ni kuwa ATCL imegeuka kijiwe cha ufisadi mkubwa "Grand Corruption" kama Tanesco ilivyokuwa awamu ya nne na ya tano.

ATCL inapaswa kuendeshwa kwa faida, la sivyo, jiwe ayueleze hizo Trillion za pesa alizopeleka huko zilikuwa na lengo gani.
 
Wengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Si watume Application , nisawa unataka ushinde bahati nasibu alafu ujashiliki kwenye bahati nasibu
 
Hawa waende kule Karatu wakawachukue warembo, wawapige msasa wa lugha ya malkia. Baada ya miezi mitatu watamudu sana hii biashara.
 
Daah kumbe wa Tanzania tunazitumia ndege zetu, nilifiki azina wateja
 
ANAFIKIRI WANAENDA KUJIUZA EEH APAMBANE TI NA HALI YAKEE

AHESHIMU WATU
 
Kweli Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.

Taswira ambayo huyo mama anataka ijengeke ni kwamba mwanamke ni chombo cha starehe au kuburudisha kitu ambacho sio sahihi.

Hivi ufupi inakuaje ni kigezo cha kumfanya mtu hafai?hao wahudumu majukumu yao ni zaidi ya urembo maana hata ndege ikipata dharura ni haohao ndio wanahusika na usalama wa abiria,matumizi ya vifaa vya usalama na kuhudumia wagonjwa.

Sasa katika hali kama hizo urembo wake pekee unatusaidia nini?ni lazima vigezo muhimu vizingatiwe.
 
Baada ya Kauli ya Mbunge Hasna Mwilima kutaka ATCL kuajiri wanawake warembo na vijana watanashati pekee ni dhahiri sasa jimbo la Mbunge huyu limekuwa na makundi mawili.

1. Kundi la kwanza la wanawake warembo na wenye urefu kiasi flani

2. Kundi la pili la wale wasio na mvuto na wafupi.

Uchaguzi wa mwaka 2020 utaonesha ni akina nani wapo wengi jimboni mwake.je watakuwa warembo ambao wataona amewatetea vyema kabisa katika kipindi hiki.

Ama watakuwa wasio na mvuto ambao hawataona sababu ya kumpigia kura kwa vile ameshawatenga na kuwaona hawastahili kupata kazi?mgawanyiko huu utaleta taswira ya siasa na harakati za Ubunge kwa Mbunge Hansa Mwilima.
 
2020 Kigoma kusini watamchagua " Tumbili" wa Songwe!
 
Hivi huyo Mhe. Mbunge ni mrembo kuwazidi Ma Airhostess wa ATCL?. Mhe. Mbunge hatakiwi kuyasema maneno mabaya aliyoyasema Mhe. Mwilima kwa wafanyakazi wa ATCL.
 
Wanatakiwa wawe namvuto ili wateja wakiume waweze kuomba namba za simu, alaf itasaidia wateja wakiume kupenda kutumia ndege zetu wakijua watakitana na madem wazuri
 
Hili si jambo la kujadili maana halina tija kwa taifa. Kwa hiyo tuache tu maana huenda aliteleza tu.
Tukitaka kuanza kujadili kauli za watu hasa kiongozi wa hiki chama basi kama kugawanyika tutagawanyika na kusagana kabisa.

Tuangalie mengine mazuri ya huyu mama haya mabaya tupotezee tu kama mabaya mengine mengi tuliyoyapotezea katika taifa hili
 
Kauli hizi za kijinga ni faida ya kuwa Bunge la chama kimoja CCM na pia tusubiri Bunge la 2020-2025 huko ndiko balaa UJINGA mwingi utatokea
 
Ubaguzi unaouona ni huu tu! Ule wa wapinzani wanaofanyiwa kwenye misafara ya Rais kwako ni sawa tu, yule mwananchi aliyeshushuliwa alipotoa ombi la maji! Kisa eti Mbunge wake ni wa Chadema?
Kila kazi inavigezo vyake na hilo lipo hata ATCL, mhudumu wa ndani ya ndege anapendeza akiwa mrefu ili aweze kuonekana kwa urahisi anapohitajika pia aweze kuvimudu viti abiria anapohitaji msaada na mwembamba awe mwepesi kwenye itendaji wake wa kazi pia asiwe mwenye ulemavu wowote, haya lazima uyakubali vinginevyo sitakuelewa.
 
Kwani wabunge wote wa ccm ndio akili zao hizo hua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…