BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Mbona yeye Mh Mbunge ana mvuto! Akazaye mtoto wake apewe ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yeye mwenyewe sura hanaMwishimiwa yule si haba....wa mwisho wa reli!..
Mkuu awamu ya kazi hii bana...haya mambo yalipita enzi zilee...recall ma dc wa miaka ile[emoji23][emoji23][emoji23]Namuunga mkono Mheshimiwa sana Mbunge, ila kabla ya kukimbilia kwa Air Hostess tuanze bungeni kwanza. Kuwa na naibu spika asiye na mvuto ni aibu kwa Taifa. Tunataka Spika/Naibu Spika akisimama bungeni wageni waseme Yes huyu ni kiongozi.
Ila wana mvuto, sio?Mbona wa KLM karibu wote ni zaidi ya miaka 40!! tena wengine
ni futi 5 "2 au "3.
Wapi nimesema ndege zinabeba wanaume tu, au wapi nimesema wenye mvuto ni wanawake tu? Kwani hakuna wanaume warefu wenye mvuto?Kwani ndege zinabeba wanaume tu ili wavutiwe na hao wahudumu wanawake? Ndege Zina wahudumu wanaume pia haya huyo mwilima atueleze vigezo vya mhudumu mrembo wa kiume aweje?
Wapo kama mama ntilie na hizo nguo zao kama manesiHere they are 😂 😂
View attachment 1256523
Umeshawshi kuwaona wahudumu wa Qatar au Etihad wewe kweli?Aulizwe kama mamake mzazi aliyejipatia kazi ya kumlea kama hupo "Attractive" Yaani mtu mzima na akili zake anategemea kuamsha fikra za mahaba na airhostess? Hivi amekosa pesa za kwenda bata oysterbay ale anasa na mabinti wanao fanya hiyo kazi ya uzinzi? Wahudumu ndani ya ndege wapo hapo kupakua matapishi yako ukipata air-sickness, kukuokoa ndege ikianguka ama ikipata hitilafu.. Hawapo hapo kukupea blow-job
AttractiveMvuto ni nini!?
Labda tuanzie hapo.
Attractive