CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

Hapo mjengoni wao hawazingatii mvuto, ili mh. kibajaji akigeuka hivi aseme ee bwana wee! humu ndani kwa kweli kuna wabunge wa viti maalum
 
Mheshimiwa Mbunge ushindwe na ulegee kwa lugha ya kibaguzi dhidi ya Wafanyakazi.
 
Kwani anataka kusafiri ama kuwatongoza?
Huo mvuto ndio utamfikisha safari yake!?
Acheni fujo bana....
hata sisi wanywaji tukienda bar tukikuta madem hawana mvuto hatukai kivile...
tunasepa....
japo kwenye usafiri wa flight uzuri wa madem sio issue....
 
1573149506319.png

1573149555139.png


1573149600406.png


Look at the Co-pilot, she can fly me anytime anywhere.
 
Huyu mama atakuja siku kulia akikuta mumewake kakamatwa na Air hostess mpaka katelekeza familia.
 
Ndio wabunge wetu hao.

............Siku hizi mtu akiwa na umaarufu kidogo tu anaenda kugombea ubunge na haya ndio matokeo yake.
 
Back
Top Bottom