CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

maulid Seleman

Haya chagueni hapo,[emoji116]
IMG-20161122-WA0001.jpeg
 
maulid Seleman

Mh...hapana aisee kama unastress zako unakutana na sample hizi unaweza kujikuta unasema nishushe kwa mtogole hapo ukifikiri uko kwa daladala
 
Mbunge kasema sawa kabisa kama ndio hao kwenye hiyo picha
 
Mhudumu wa ndege anasura na shepu kma le mutuz au wakudavadua sura ya kike sauti ya kiume
 
Hizi picha nadhani ni za ATCL ya mwaka 47. Enzi hizo inaitwa ATC. I can see those shoddy colours. Now it's different. Nadhani mmeletewa picha up to date tayari. Tatizo la haka kabiashara kana ubaguzi wa wazi kabisa. Mara, awe mrefu, mwembamba, na some other criteria zinazo wa knock out dada zetu wasio warefu, warembo, nk. Na kama inavyojulikana waTz si warefu kihiiiiivyo. Ona recent pics like,...
Here they are [emoji23] [emoji23]
View attachment 1256523
IMG_20190607_150658.jpeg
IMG_20190821_194626.jpeg
IMG_20190501_175806.jpeg
 
Back
Top Bottom