CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

yaan dada zetu wa ATCL wamedhalilishwa sana aisee ila ajabu ya nchi yetu kila mtu yupo kimya yaan wote tumechukulia kawaida tu,maendeleo ya fikra huanza kisha maendeleo ya uchumi hufuata sasa km haya ndio mawazo ya viongozi wetu basi tunajidanganya tu kuhusu hizo ndoto za uchumi tulizonazo
 
Aulizwe kama mamake mzazi aliyejipatia kazi ya kumlea kama hupo "Attractive" Yaani mtu mzima na akili zake anategemea kuamsha fikra za mahaba na airhostess? Hivi amekosa pesa za kwenda bata oysterbay ale anasa na mabinti wanao fanya hiyo kazi ya uzinzi? Wahudumu ndani ya ndege wapo hapo kupakua matapishi yako ukipata air-sickness, kukuokoa ndege ikianguka ama ikipata hitilafu.. Hawapo hapo kukupea blow-job

Attractive and intellectually mature air hostess brings good flight experience. Hata wewe utafurahia ukihudumiwa na mrembo anakaa ni kama ametoka kwa picha ya modeling magazine.

Kuna watu hapa hupanda Ethiopian purely because of the beautiful flight attendants! Alafu Emirates ndo the ultimate goal, ni vile tu sijapata safasi ya kusafiri nao lakini nafasi ikijitokeza mbio mbio naichukua nikajionee mambo!
 
yaan dada zetu wa ATCL wamedhalilishwa sana aisee ila ajabu ya nchi yetu kila mtu yupo kimya yaan wote tumechukulia kawaida tu,maendeleo ya fikra huanza kisha maendeleo ya uchumi hufuata sasa km haya ndio mawazo ya viongozi wetu basi tunajidanganya tu kuhusu hizo ndoto za uchumi tulizonazo
Ni kawaida ya chama chetu, ila angekuwa chadema angejikuta yuko mahabusu
 
Mbona wazuri tu au walimnyima kazi au mwanaye alifeli interview. Maana naona hawana shida haya binti zetu. Chapeni kazi achaneni na huyu bibi ambaye hajui kwamba muda wake ulishakwisha. NI WIVU TU
Mkuu umesema kweli na kwa uchungu sana. Hivi kwani wakiwa sio wazuri ndege hairuki? Labda huyo anaemtafutia hii kazi akamwombee kuwahudumia wabunge kwenye mgahawa wao huko Dodoma, kwenye ndege No.
 
Attractive and intellectually mature air hostess brings good flight experience. Hata wewe utafurahia ukihudumiwa na mrembo anakaa ni kama ametoka kwa picha ya modeling magazine ..... Kuna watu hapa hupanda Ethiopian purely because of the beautiful flight attendants! Alafu Emirates ndo the ultimate goal, ni vile tu sijapata safasi ya kusafiri nao lakini nafasi ikijitokeza mbio mbio naichukua nikajionee mambo!
When am flying, I prefer to see atleast 1 male attendant on the crew. Men are able to handle emergencies better. Sexual thoughts, lusting, kukula kwa macho has never crossed my mind.
 
Tena hili swala wajitahid kulifanyia kazi kabla ya desember kwani haingii akilini kwenye mabasi, bars, hotels, bank tellers kuwe na wadada wakali sembuse ndege hebu waache masihara
 
Back
Top Bottom