Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Huyo husna kikojozi si arudi bungeni ku applogize hili bifu liishe au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa kike huwa wanachukua sura za upande wa baba.
Aulizwe kama mamake mzazi aliyejipatia kazi ya kumlea kama hupo "Attractive" Yaani mtu mzima na akili zake anategemea kuamsha fikra za mahaba na airhostess? Hivi amekosa pesa za kwenda bata oysterbay ale anasa na mabinti wanao fanya hiyo kazi ya uzinzi? Wahudumu ndani ya ndege wapo hapo kupakua matapishi yako ukipata air-sickness, kukuokoa ndege ikianguka ama ikipata hitilafu.. Hawapo hapo kukupea blow-job
Ni kawaida ya chama chetu, ila angekuwa chadema angejikuta yuko mahabusuyaan dada zetu wa ATCL wamedhalilishwa sana aisee ila ajabu ya nchi yetu kila mtu yupo kimya yaan wote tumechukulia kawaida tu,maendeleo ya fikra huanza kisha maendeleo ya uchumi hufuata sasa km haya ndio mawazo ya viongozi wetu basi tunajidanganya tu kuhusu hizo ndoto za uchumi tulizonazo
Ipandishe mkuu tuoneYes, natafuta picha ya yule mwanawe anayesoma st Joseph university
Huyu wa mwisho anamikogo kweli duh![emoji1787][emoji1787]Huyu mama jamani kweli hajaona hata mmoja wa kumfurahisha kweli mpaka ameamua awadharirishe vile.
TAZAMA [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1257742View attachment 1257743View attachment 1257744View attachment 1257745View attachment 1257746View attachment 1257747View attachment 1257748
Mkuu umesema kweli na kwa uchungu sana. Hivi kwani wakiwa sio wazuri ndege hairuki? Labda huyo anaemtafutia hii kazi akamwombee kuwahudumia wabunge kwenye mgahawa wao huko Dodoma, kwenye ndege No.Mbona wazuri tu au walimnyima kazi au mwanaye alifeli interview. Maana naona hawana shida haya binti zetu. Chapeni kazi achaneni na huyu bibi ambaye hajui kwamba muda wake ulishakwisha. NI WIVU TU
Hivi kwa nini uniform zinavutia
When am flying, I prefer to see atleast 1 male attendant on the crew. Men are able to handle emergencies better. Sexual thoughts, lusting, kukula kwa macho has never crossed my mind.Attractive and intellectually mature air hostess brings good flight experience. Hata wewe utafurahia ukihudumiwa na mrembo anakaa ni kama ametoka kwa picha ya modeling magazine ..... Kuna watu hapa hupanda Ethiopian purely because of the beautiful flight attendants! Alafu Emirates ndo the ultimate goal, ni vile tu sijapata safasi ya kusafiri nao lakini nafasi ikijitokeza mbio mbio naichukua nikajionee mambo!