CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

ATCL ni kama hifadhi za taifa, nje ya ndege kuna twiga. Ndani kuna viboko, vifaru, tembo, ngiri, chatu bila kuwasahau mapapa.
 
Haya mambo hayafai kuyasema hadharani
Ni insensitive sana kumuambia air hostess hana mvuto wa kuwa air hostess.
Kuna kipindi walikuwa wakiwakejeli mtandaoni, dah niliona watu hawajali kabisa hisia za watu
Kama ni ushauri unatoa tu kimyakimya kwa wahusika wanaufanyia kazi
Huo ushauri wa kimyakimya hutolewaje mkuu?
 
Wengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Mmechangia kwa kuanza kidogokidogo, hadi mmeingia kwenye ukabila kamili, ninadhani hicho ndicho kilicholengwa hasa!
 
Namuunga mkono Mheshimiwa sana Mbunge, ila kabla ya kukimbilia kwa Air Hostess tuanze bungeni kwanza. Kuwa na naibu spika asiye na mvuto ni aibu kwa Taifa. Tunataka Spika/Naibu Spika akisimama bungeni wageni waseme Yes huyu ni kiongozi.
Nipo upande wako mkuu. Nami huwapenda sana viongozi wa kike warembo!

Kama ilivyo kwa awamu hii, kila mwenye cheo cha DC ni 'mkali' ni 'visu' kishenzi, nadhani wanateuliwa kwa vigezo vikiwemo vya uzuri wa sura zao, maana dah!

Hicho hunifanya nifuatilie kwa makini hotuba na mikutano yao na kuwa 'mtii wa ridhaa' kwa kufuatilia jinsi wanavyoongea ongea.

Hata nisipoelewa maudhui ya hotuba husika, utanikuta mwanzo mwisho nipo tu siondoki hadi amalize.
Wanaume tuna burudani za kila aina.
 
Yaani nilishasema wanaume tu ndiyo wanapendana lakini wanawake tunaoneana wivu wa kijinga sana.

Hii kauli ya Mbunge, tena mwanamke, kuhusu wafanyakazi wa ndege ATCL kuwa hawana mvuto na wafupi, huu ni wivu wa kuzodoa, kuwakejeli na kuwadhalilisha watoto wa kike wa mwanamke mwenzio au wanawake wenzio.

Wewe Hasna Mwilima, je wewe ni mrembo? Urembo wa mwanamke mwenzie unataka uufanyie nini?

Au unataka hao wanawake waachishwe kazi wakafanye kazi gani? Mpaka hapo umeisha poteza sifa za kuwa Mbunge, umewadhalalisha sana wanawake wa Tanzania.

Natamani niwafahamu watoto wako wa kike, nione urembo walio nao, wanawake tuna mambo ya ajabu sana, ambayo hata shetani ameshindwa kutudefine.

Nilitegemea kauli kama hii ingetolewa na Mbunge viti maalumu, kumbe tena Mbunge mwenye jimbo aliyepigiwa kura na kila aina ya mwanamke, wafupi, warefu, rangi tofauti tofauti, leo unawadhalalisha kiasi hiki.

Ufupi wa mwanamke si ulemavu wa kushindwa kufanya kazi, au hizo ndege ni madanguro? Inabidi tufahamishwe kazi ya ziada wafanyao hao wanawake.
 
ila tuseme ukweli wengi hawavutii kama wa mashirika mengine, na iyo mi wigi yao ndo kabisaa bora hata wanao suka na kukata low cut wako powa.
 
Huyu Mama mpumbavu tu..
CCM pia Ina wapumbavu wachache Kama Hawa..ndiyo wanaochafua chama.
 
Disgusting inatia kinyaa huwezi kuwatukana dada zetu namna hivyo tukakiacha hivix2 japo wanafanya kazi kwenye shirika uchwara
 
Back
Top Bottom