Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Nasoma comments za kina dada tu leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ebitokaaaaaaaaaaAcha kujipotosha wewe, uzuri nje, tabia tutajuana huko ndani ya nyumba.
Mbona ebitoke hagombaniwi kama Hamisa mabeto na wema sepetu au Nandy?
Acha hayo mambo ya kulaumu awamu pendwa! Kwani wa kisarawe ni awamu ipi?Mkuu awamu ya kazi hii bana...haya mambo yalipita enzi zilee...recall ma dc wa miaka ile[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ushauri wa kimyakimya hutolewaje mkuu?Haya mambo hayafai kuyasema hadharani
Ni insensitive sana kumuambia air hostess hana mvuto wa kuwa air hostess.
Kuna kipindi walikuwa wakiwakejeli mtandaoni, dah niliona watu hawajali kabisa hisia za watu
Kama ni ushauri unatoa tu kimyakimya kwa wahusika wanaufanyia kazi
Mmechangia kwa kuanza kidogokidogo, hadi mmeingia kwenye ukabila kamili, ninadhani hicho ndicho kilicholengwa hasa!Wengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Nipo upande wako mkuu. Nami huwapenda sana viongozi wa kike warembo!Namuunga mkono Mheshimiwa sana Mbunge, ila kabla ya kukimbilia kwa Air Hostess tuanze bungeni kwanza. Kuwa na naibu spika asiye na mvuto ni aibu kwa Taifa. Tunataka Spika/Naibu Spika akisimama bungeni wageni waseme Yes huyu ni kiongozi.
Ujambo..!Atakuwa mwanga
Sasa mbona umemwekea dislike mtoa mada, amekosea niniHonestly sio poa hata kidogo hizo ni dharau.