CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

hakuna cha uadui wa nani nani? kasema ya kweli wale wahudumu wengi si warembo na mawigi yao kama kiota

shida kalisema wazi na bila busara (kalopoka) ila ni kweli 100% mambo ya uwajue watoto wake uone kama ni warembo hayana maana (maana sio wahudumu wa ndege, wale ndo tunataka wawe warembo) hata kuuliza yeye ni mrembo haina maana kwa sababu si muhudumu wa ndege.

chagueni watu kwa kufata sifa, acheni kubebana ndo madhara haya muhumudumi kakomaa ka mwana masumbwi
 
Wewe nawe bwege tu

1. Tunatafuta mshindi wa urembo safarini?

2. Kunabiashara ya ukahaba ndani ndege?

3. Je hiyo sio fani wanasomea na kufaulu?

4. Watanzania wafupi hawana haki kupata ajira hizo?

5. Watanzania wenye sura mbaya kwa kauli yake Mbunge mpumbavu hawana sifa kuajiliwa iwapo wamefaulu Masomo yao?

6. Je katiba inasemaje ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu usawa?

7. Kanuni za ccm zinsema vipi kuhusu binadamu na usawa?

Mbwa kama nyinyi enzi za Nyerere ilikuwa nikufukuza kazi na kuwafunga.

Tukianza kubaguwana kwa
-ufupi kawawa na mwinyi hata Mkapa wasingekuwa Marais

-Tukianza kubaguwana kwa sura Remi ongala asingepata wafuasi pande zote za taifa la tanzania

Tunakuwa wapumbavu na wajinga watokufikiri vema ili kutenda mema kwa taifa letu.

Tuache upumbavu
 
CCM inatakiwa kumchukukia hatua kali Mbunge huyu mjinga

Vinginevo watanzania waidhaibu ccm kukumbatia wabaguzi na watu wanaotuaibisha watanzania kwa upumbavu wao.

Wake kwa waume tusikubali udhalilishaji huu unaofanywa bila aibu tena bungeni na mtu aliyepigiwa kura tukiamini anaakili timamu.

1. Ameliabisha na kulifedhehesha taifa

2. Ameliaibisha na kulifedhehesha shirika letu la ndege...kwa lugha nyepesi AMELIHUJUMU kibiashara. Ameliondolea sifa.

Tunaposhindwa kujithamini na kuthamini Utanzania wetu na atatutathimini?
 
hakuna cha uadui wa nani nani? kasema ya kweli wale wahudumu wengi si warembo na mawigi yao kama kiota

shida kalisema wazi na bila busara (kalopoka) ila ni kweli 100% mambo ya uwajue watoto wake uone kama ni warembo hayana maana (maana sio wahudumu wa ndege, wale ndo tunataka wawe warembo) hata kuuliza yeye ni mrembo haina maana kwa sababu si muhudumu wa ndege.

chagueni watu kwa kufata sifa, acheni kubebana ndo madhara haya muhumudumi kakomaa ka mwana masumbwi
Huna akili boya wewe rudi shule jenga hoja axa utoto we jitu zima ovyoo
 
Ni mbunge wa CCM huyo, kuna mbunge mwingine mwanamke wa CCM alilitaka bunge kuchunguza wabunge wanaume wenye magovi wasiingie bungeni
Hahaa kuna yule wakiume jana alitoa pendekezo ya kuwekwa sheria yakuwawezesha wazazi kuwabana watoto wao pale wanapopata kazi na kushindwa kuwasaidia nawengine kutopokea hata simu zawazazi wao hali yakua wazazi waliwasilomesha kwa shida .. aliongea kiutani utani sema ilikua na kaukweli flani ivi
 
Sawa, lakini hoja ni kwamba ile ni biashara, na biashara ni mvuto, si kila mtu ana mvuto wa kuwa 'air hostage', tusilazimishe, wengine wakawe wahasibu, air ticketing nk., wale. Wazuri ndio wahudumie abiria.
 
Yaani nilishasema wanaume tu ndo wanapendana lakini wanawake tunaoneana wivu wa kijinga sana.

Hii kauli ya Mbunge tena mwanamke kuhusu wafanyakazi wa ndege ATCL kuwa hawana mvuto na wafupi, huu ni wivu wa kuzodoa, kuwakejeli, kuwadhalilisha watoto wa kike wa mwanamke mwenzio au wanawake wenzio.

Wewe Hasna Mwilima, je wewe ni mrembo? Urembo wa mwanamke mwenzie unataka uufanyie nini?

Au unataka hao wanawake waachishwe kazi wakafanye kazi gani? Mpaka hapo umeisha poteza sifa za kuwa Mbunge, umewadhalalisha sana wanawake wa Tanzania.

Natamani niwafahamu watoto wako wa kike, nione urembo walio nao, wanawake tuna mambo ya ajabu sana, ambayo hata shetani ameshindwa kutudefine.

Nilitegemea kauli kama hii ingetolewa na Mbunge viti maalumu, kumbe tena Mbunge mwenye jimbo aliyepigiwa kura na kila aina ya mwanamke, wafupi, warefu, rangi tofauti tofauti, leo unawadhalalisha kiasi hiki.

Ufupi wa mwanamke si ulemavu wa kushindwa kufanya kazi, au hizo ndege ni madanguro? Inabidi tufahamishwe kazi ya ziada wafanyao hao wanawake.
KAULI YA HUYU MAMA INAUMA SANA BASI TU HATUNA UWEZO ILITAKIWA ASHITAKIWE
 
Hicho ndicho alichotumwa na wananchi wake kuwakilisha huko bungeni.
 
Acha upwagu wewe, sio kila mtu anafiti kwenye kila kazi, na katika vigezo muhimu kwenye kufanya kazi na mashirika ya ndege ni muonekano, kama hawana muonekano zipo kazi nyingine zitawafaa zaidi, unapoongea huo upuuzi uwe unaangalia hata makampuni yaliyoendelea wanafanyaje, yule mbunge yuko sahihi 100% sema tu ndio hivyo siku zote #UKWELI HAUFURAHISHI
 
Wewe nawe bwege tu

1. Tunatafuta mshindi wa urembo safarini?

2. Kunabiashara ya ukahaba ndani ndege?

3. Je hiyo sio fani wanasomea na kufaulu?

4. Watanzania wafupi hawana haki kupata ajira hizo?

5. Watanzania wenye sura mbaya kwa kauli yake Mbunge mpumbavu hawana sifa kuajiliwa iwapo wamefaulu Masomo yao?

6. Je katiba inasemaje ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu usawa?

7. Kanuni za ccm zinsema vipi kuhusu binadamu na usawa?

Mbwa kama nyinyi enzi za Nyerere ilikuwa nikufukuza kazi na kuwafunga.

Tukianza kubaguwana kwa
-ufupi kawawa na mwinyi hata Mkapa wasingekuwa Marais

-Tukianza kubaguwana kwa sura Remi ongala asingepata wafuasi pande zote za taifa la tanzania

Tunakuwa wapumbavu na wajinga watokufikiri vema ili kutenda mema kwa taifa letu.

Tuache upumbavu
Safi sana mkuu, kama alivyo mbunge naye huyu ni walewale
 
Yani wewe ndo priceless kabisa, kwahiyo ukisema hivyo basi hata watu wenye ulemavu na ufupi wa kimo waombe kazi ya kua askari wa jeshi la polisi kwa sababu nao ni watanzania pure kabisa na wana haki, open your mind mkuu sio kila kazi inamfaa kila mtu, shirika la ndege liheshimike kidogo sio mtu unasafiri bora ufike tuh
Wewe nawe bwege tu

1. Tunatafuta mshindi wa urembo safarini?

2. Kunabiashara ya ukahaba ndani ndege?

3. Je hiyo sio fani wanasomea na kufaulu?

4. Watanzania wafupi hawana haki kupata ajira hizo?

5. Watanzania wenye sura mbaya kwa kauli yake Mbunge mpumbavu hawana sifa kuajiliwa iwapo wamefaulu Masomo yao?

6. Je katiba inasemaje ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu usawa?

7. Kanuni za ccm zinsema vipi kuhusu binadamu na usawa?

Mbwa kama nyinyi enzi za Nyerere ilikuwa nikufukuza kazi na kuwafunga.

Tukianza kubaguwana kwa
-ufupi kawawa na mwinyi hata Mkapa wasingekuwa Marais

-Tukianza kubaguwana kwa sura Remi ongala asingepata wafuasi pande zote za taifa la tanzania

Tunakuwa wapumbavu na wajinga watokufikiri vema ili kutenda mema kwa taifa letu.

Tuache upumbavu
 
hakuna cha uadui wa nani nani? kasema ya kweli wale wahudumu wengi si warembo na mawigi yao kama kiota

shida kalisema wazi na bila busara (kalopoka) ila ni kweli 100% mambo ya uwajue watoto wake uone kama ni warembo hayana maana (maana sio wahudumu wa ndege, wale ndo tunataka wawe warembo) hata kuuliza yeye ni mrembo haina maana kwa sababu si muhudumu wa ndege.

chagueni watu kwa kufata sifa, acheni kubebana ndo madhara haya muhumudumi kakomaa ka mwana masumbwi
Kuna mashindano ya umiss kwenye hizo ndege,sijaelewa logic ya urembo kwenye ndege,kwamba wanajiuza kwenye hizo ndege, au wasafiri wanaburudika wanavyowaona,kwamba si wasafi wananuka,sjajua urembo kwenye vyombo vya usafiri kuna umuhimu gani,kwamba usafiri wa ndege ni sehemu ya maonyesho ya Sanaa ya burudani kama ilivyo casino,sijapata logic ya urembo kwenye usafiri wa umma
 
Yaani nilishasema wanaume tu ndo wanapendana lakini wanawake tunaoneana wivu wa kijinga sana.

Hii kauli ya Mbunge tena mwanamke kuhusu wafanyakazi wa ndege ATCL kuwa hawana mvuto na wafupi, huu ni wivu wa kuzodoa, kuwakejeli, kuwadhalilisha watoto wa kike wa mwanamke mwenzio au wanawake wenzio.

Wewe Hasna Mwilima, je wewe ni mrembo? Urembo wa mwanamke mwenzie unataka uufanyie nini?

Au unataka hao wanawake waachishwe kazi wakafanye kazi gani? Mpaka hapo umeisha poteza sifa za kuwa Mbunge, umewadhalalisha sana wanawake wa Tanzania.

Natamani niwafahamu watoto wako wa kike, nione urembo walio nao, wanawake tuna mambo ya ajabu sana, ambayo hata shetani ameshindwa kutudefine.

Nilitegemea kauli kama hii ingetolewa na Mbunge viti maalumu, kumbe tena Mbunge mwenye jimbo aliyepigiwa kura na kila aina ya mwanamke, wafupi, warefu, rangi tofauti tofauti, leo unawadhalalisha kiasi hiki.

Ufupi wa mwanamke si ulemavu wa kushindwa kufanya kazi, au hizo ndege ni madanguro? Inabidi tufahamishwe kazi ya ziada wafanyao hao wanawake.

Yawezekana huyo Mbunge akawa ama anasumbuliwa na haya mambo matatu kwa pamoja au moja wapo

1. Ana matatizo makubwa ya Akili yanayokimbilia Yeye muda wowote kuwa Mwendawazimu.
2. Pengine huwa akipanda hizo Ndege huwa anabahatika Kukaa Siti za Wanaume na huwa anaumia kuona hao Wanaume wakiwa wanawakodolea hao Wahudumu wa Kike wa Ndege huku Yeye akibakia Kupiga tu Miayo na Kununa.
3. Mmoja wa Wapenzi wake ama alishawahi Kusema kuwa anavutiwa na Urembo wa Wahudumu wa Kike wa Ndege hizo au ameanzisha Uhusiano nae.

Kuna haja huko mbeleni Kutungwe Sheria ya kuwapima Akili Wabunge wetu kila baada ya Miezi Minne kwani huenda huwa kuna Wabunge ambao Akili zao huwa zinahamahama hovyo bila utaratibu kama Channels za Visimbuzi hivyo kuja kuwa Janga kubwa kwa Wapiga Kura wao.
 
Sawa, lakini hoja ni kwamba ile ni biashara, na biashara ni mvuto, si kila mtu ana mvuto wa kuwa 'air hostage', tusilazimishe, wengine wakawe wahasibu, air ticketing nk., wale. Wazuri ndio wahudumie abiria.
Siku moja watasema tunataka wahudumu wa ndege wawe na chuchu zilizosimama na kuachia kifua wazi ili abiria iwe rahisi kuwatomasa na kuwavutia
 
Nao wengi wa wanaomsupport huyo mama hawajawahi kusafiri na mashirika mengine ya ndege ya kimataifa. Hata hayo mashirika mengine ya ndege kama emirates, ethiopian airways n.k wapo ambao hawana mvuto lakini wanafanyia kazi mashirika hayo. Kwa hiyo kigezo sio mvuto.
 
hakuna cha uadui wa nani nani? kasema ya kweli wale wahudumu wengi si warembo na mawigi yao kama kiota

shida kalisema wazi na bila busara (kalopoka) ila ni kweli 100% mambo ya uwajue watoto wake uone kama ni warembo hayana maana (maana sio wahudumu wa ndege, wale ndo tunataka wawe warembo) hata kuuliza yeye ni mrembo haina maana kwa sababu si muhudumu wa ndege.

chagueni watu kwa kufata sifa, acheni kubebana ndo madhara haya muhumudumi kakomaa ka mwana masumbwi
Huna matumaini wewe
 
Sawa, lakini hoja ni kwamba ile ni biashara, na biashara ni mvuto, si kila mtu ana mvuto wa kuwa 'air hostage', tusilazimishe, wengine wakawe wahasibu, air ticketing nk., wale. Wazuri ndio wahudumie abiria.

Anayesema biashara ni sura za watu basi hata viwandani tuajiri warembo, na wengine waende kulima mashambani maana wataharibu biashara

Mahospitalini tuondowe madakitari na wahudumu wote wanaosemekana na sura mbovu au wafupi waende kulima mashambani

Maofisini tuondowe wote wanaosemekana na sura mbovu au wafupi waende kulima mashambani

Diplomats wetu wote wenye sura mbovu na waliowafupi warudishwe nyumbani waje kulima...maana wanaliwakilisha taifa nje ya nchi hawana mvuto watatufukuzia wafanyabishara nk

Hii ni hoja yakijinga nakipumbavu kabisa
Ubaguzi wa sura
Ubaguzi wa rangi
Ubaguzi wa maumbile nk

Hayati Baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipinga vikali ubaguzi. Sasa tunarudi kulekule.
 
Kampuni ya ndege ( ATCL) imemjibu mbunge wa Kigoma kusini mh Husna aliyewanyanyapaa wahudumu wake kuwa hawana mvuto na ni wafupi.

ATCL wamesema wao hawaajiri wahudumu ili wakaonyeshe sura kama kwenye mashindano ya miss Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom