fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi.
My behavioral psychanalysis is:-
Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi:
Makonda ana uwezo mkubwa wa kiuongozi na amekabiliana na tough times kuliko wakuu wote wa mikoa hapa Tanzania. Mtu mwenye experience ya kuongoza jiji la Dar es Salaam lenye watu zaidi ya 6m
Huwezi tu ukamdismiss out eti kwa sababu kashindwa kwenye kura za maoni za chama chake. Wakifanya hivyo basi hicho chama hawako serious na the science of governance
Makonda kafanya kazi Dar na amegusa almost kila eneo la maendeleo ya wana Dar es Salaam! Yes, of course anayo madhaifu yake kiuongozi ambayo anaelekezeka vizuri tu na boss wake
Makonda ameweza kudance vizuri sana na viongozi wa dini wa mkoa wa Dar. That is leadershipMakonda, ametukanwa sana, hata familia yake kudhalilishwa yet he stood up.. That is leadership!
Makonda, amesimamia vizuri mkoa wakati wa covid19 bila kukinzana na maelekezo ya boss wake- that is leadership.
Makonda, alifanya kazi zake kwa kujiamini; hii inaonesha leadership maturity na transparency kwa boss wake! Hakuwa na unafiki wa kujipendekeza- hadi watu wakasema analindwa! Nooop ni kwamba hakuwa na hila.
Makonda, tangu achukue hatua against drug trafficking kumekuwa na progressive solution on that in dar. Makonda, ana experience na uongozi wa mzee kikwete na Magufuli. Makonda, hajawahi kugombana na Wakuu wake wa Wilaya hata mara moja!
Kwakufuata uchapaji kazi, makonda siyo wa kuachia atoke katika uongozi now!
Dr. Ndugulile katenguliwa uteuzi kwanini? Kiuongozi alishindwa kudance in the tune ya boss wake during covid19 na ndiye aliyepita kura za maoni.
Serikali ya jpm inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa kupitia wakuu wake wa mikoa na wilaya kama akina Gabriel Robert na akina Gondwe.
Makonda, ana uwezo mkubwa kiuongozi ukiachailia mbali mambo mengine ya his own emotional weakness! Ushabiki wa vyama unaharibu vipaji vya viongozi wazalendo!
Kumchafua inajaribu kusend msg kwa Rais Magufuli kwamba hafai!
“the art of government is not how much you swallow public opinions but in statistical data, well analyzed and tested scientifically!”
Ukipima hayo yote; you cannot dismiss a brave leader like makonda kwasababu ya opinions za watu based on wivu tu!
Nikimnukuu mhe. Makamu wa rais mama samia hassan: “JPM huwezi kumdanganya...” kwahiyo hata kwa Makonda, anamfahamu kuliko sisi wote kabisa, anajua uwezo wake na akimlinganisha na baadhi yao waliopita kwenye kura za maoni anajua how much CCM anayoiongoza inaweza kumrundikia liabilities kwenye uongozi wake na waka-slow down speed ya maendeleo yaliyoanza kuonekana katika nchi!
Kupitishwa kwenye kura za maoni ili kugombea kwa ticketi ya ccm haimaanishi umekuwa mtakatifu kwa serikali iliyoshindwa kufanya na wewe kazi hadi ikakutengua! Na vivyo hivyo, kukatwa kwenye kura za maoni, inaweza kudhoofisha uongozi katika serikali iliyokuwa inatumikiwa na waliokatwa!
So the math is with the hon. President and his honorable administration!
Tujihadhali na ushabiki wa vyama vya siasa ili kulinda uzalendo