Uchaguzi 2020 CCM mpitisheni Makonda amalizie kazi aloianza, Wananchi bado tunamuhitaji

Mkuu kama anafaa sana, sio lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi. Rais ana nafasi 10 za kuteua, anaweza akamteua na ampe uwaziri wowote isipokuwa uwaziri mkuu. Afanye hivyo kama anafaa sana. Asilazimishe wana Kigamboni wamkubali, maana anaweza kula knock out nyingine October. Akipenda anaweza akampa hata awe Katibu Mkuu kiongozi, milango ya kutumikia taifa iko mingi. Wasi-force huu wa Kigamboni.
 
uko sahihi sana maana kwenye ukuu wa mkoa pia alikuwa anatumikia wananchi tena wote sio tu kigamboni
 
Ila akaona Ukuu wa Mkoa haufai... Licha ya utendaji wote na sifa zote ulizompa!?

Unafikiri ubunge utamtosha!??

Ujinga.
 
You are not serious!
 
Alipokua RC alikua na uwezo wa kufanya yote hayo maana yeye ndiye rais wa mkoa na ni shemu ya serikali,sasa iweje useme akamilishe kwe Ubunge wakati mbunge sio mtekelezaji na sio sehemu ya serikali?
 
Kipi alichoanzisha amekimaliza?
 
Kikundi cha Makonda washaanza kazi yao🤣🤣🤣🤣
 
Kwanini hakutaka kuyamaliza akiwa mkuu wa mkoa?
 
Kumchagua ama kumteua makonda ni kutumia madaraka vibaya.
 
Makonda amekupa shilingi ngapi kwa kuandika haya mashudu?
Mashudu usiyafananishe na huo upuuzi,mashudu yanatumika kama chakula Cha kunenepeshea mifugo yangu. Alichoandika hapo ni kinyesi na sio mashudu.
 
Niseme tu wazi hao waliomkata kwa kura ni sehemu ya wananchi,, itoshe tu kusema wengi wape!... And Ndugu huyu bwana hana lolote la maana zaidi ya kunata na Media,,yeye na tv utasema Diamond,,Anajali kujibrand na ndo maana Ana wateka mazwazwa kama nyinyi,,walopita katika Mkoa huo wamefanya makubwa hadi Dar ikawa alivyoikuta yeye ila they didnt give a shit on Media,,,,sasa huyu mtu MWENYE huruka ya Jumalokole Anakesha insta ndo unakuja kumlilia hapa?..
"NENDA KARIPOTI KITUO CHOCHOTE CHA POLIS KARIBU YAKO UKIFIKA SEMA MAKONDA KANIAMBIA'' He was such a stupit and Uncoth leader aliejaa majivuno na Kebehi,, Kila Jambo aloanzisha ilikua ni kiki ya Kisasa akilenga kujitafutia Umarufu,, TABU ZA MNYONGE ZIPO PALE PALE..NI JAMBO GANI LA TOFAUTI ALOFANYA AKAFANIKIWA?.... HANA TOFAUTI NA MAGU ANAPENDA KUNG'AA KWENYE TV DAILY,,,,,,,,,,UFUNGUZI?.......UZINDUZI???
 
Hafai kabisa mtu huyu dhalimu.
 

Wampitishe wao kama nani? Wananchi wa Kigamboni wametuma ujumbe Precise and Clear kwa kazi ambayo Ndungulile kawafanyia Kigamboni wameipenda wameendorse na wanataka aendelee kuchapa kazi..
Kama Makonda alishindwa kutelekeleza ya Dar mpaka akaomba apewe sehemu ndogo tuu yaani Jimbo HAFAI kiuongozi kwanza kwa kumdhalilisha Mhe Mwenyekiti aliyemteua na CCM kwa kukimbia majukumu halali ya ukuu wa Mkoa huku akiwa na kazi nyingi sana pending.. "Yaaani Dar imekuwa kama haina viongozi" sio maneno yangu bali maneno ya Mwenyekiti wetu wa chama na Rais wa nchi... Miezi tisa iliyopita tuu alilalamika leo tunaambiwa Makonda anafaaa...
 
Kwa hoja yako unamaanisha hamna mtu mwingine wa kuiongoza Dar.
Sasa suppose Makonda kafariki au kapata tatizo lolote, nani ataweza kukaa kwenye nafasi yake?
Hayo yote uliyoyaongea kila mtu anaweza kuyafanya kama akipewa nafasi na privilege aliyopewa Makonda.
Usitake kutafuta huruma kwa mambo yasiyowezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…