Uchaguzi 2020 CCM mpitisheni Makonda amalizie kazi aloianza, Wananchi bado tunamuhitaji

Makonda bana! Umeamua kuja kujipigia debe mitandaoni.
Wananchi wa Dar-Es-Salaam jimbo la Kigamboni wamekukataa..

Kaa chini ujitafakari!
Ulipokosea rekebisha...

Omba Magu akupe kazi zingine. Hata uenezi wa chama!

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Angeomba nafasi jimbo la Sumve,jimbo ambalo Mbunge alifariki ghafla mwaka huu,nahisi ni karibu na kijijini kwao,labda angetoboa(Maana Mnyeti ameenda kwao amepata nafasi ya kuongoza kura ya maoni).
 
aisee ukiwa unaumwa tumbo la kuharisha, usitishie watu kuwa utajamba uharibu hali ya hewa. utaishia kujidhalilisha tu kwa kutokwa uharo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…