GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Wanabodi,
Kilichotokea leo huko Musoma kinafikirisha sana, jukwaa lote kuu la CCM kwenye kampeni limekuwa likisimama kutoa hotuba za Tundu lisu
Tundu Lissu sasa anakitoa chama changu CCM kwenye malengo yake ya ilani na kukipeleka yeye atakavyo.
Kauli yake kuwa yeye hawezi kukubali kuteuliwa na Mkuu wa nchi na pia yeye Tundu Lissu kusema yeye sio kama wale wa jalalani limekuwa mwiba kwa chama changu CCM.
Hii kauli imeuma sana na imeumiza sana baadhi ya wana CCM, Leo wazungumzaji wote huko Musoma ni Lissu tu.
Je hizi kauli viongozi wa CCM mnazitoa wapi wakati mnasema Tundu lissu hana ushawishi na wala hana wafuasi, Mlisikiliza wapi hotuba za Lissu wakati hazionyeshwi TBC?
Tulishauri sana hapa JF kuwa mnavyozidi kuficha hotuba za Lissu zisionyeshwe ndivyo watu wanavyozidi kuzitafuta hotuba zake.
Kikubwa ni kujibu hoja zake ,Na hoja zake sio nyingi sana,Uhuru wa habari,Maisha ya watu,Bima ya Afya,Wakulima kuishi kwa kukopwa,Elimu na riba ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo
Kitendo cha leo kwenye kampeni Musoma kuanza kumjibu Tundu lissu sasa ni rasmi mnawafanya hata wasiofuatilia waanze kutafuta hotuba zake
Leo hii Clip za Tundu lissu zinasambaa kwa kasi hasa kuhusu hoja zake ambazo hazijajibiwa,
Mpaka sasa hoja iliyojibiwa ni moja tu ya ajira kwa walimu ambayo serikali imetangaza ajira 13,000
Hoja za ongezeko la mishahara bado
Hoja za uhuru wa vyombo vya habari mfano Tbc kuonyesha mikutano ya chadema bado
Yafuatayo inabidi chama changu iyafanyie kazi
Mosi,Chama kijikite kwenye mambo ya msingi ya watu na siyo vitu,Ni muda wa kuongelea watu maisha yao hasa kipesa,Tundu lissu anatumia hii hoja kutubagaza na kutushambulia sana
Tundu lissu anawaeleza watu kuwa barabara ,Ndege na Reli hazina uhusiano na pesa mifukoni mwao na watu wanaamini kwa maelfu,Hiki ni kipindi cha kuongelea mambo yajayo
Ccm kuendelea kuongelea mambo ya reli,barabara na ndege watu wameyasikia kwa miaka mitano yote,Sasa wanahitaji mambo mapya
Tunapomuongelea Lissu tunazidi kumpa umaarufu zaidi
Je ni kweli sasa tunacheza ngoma ya Tundu lisu?