Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Kauli ya kabudi hiyoWewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya kabudi hiyoWewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.
Mungu HUWA Hana mpango na Wasaliti wewe usilitaje Bure jina lakeUsimwamshe aliye lala ukimwamsha utalala wewe Lisu ni mpango wa Mungu acha kusudi lake litimie
Watake wasitake mziki wa lissu watacheza tyuuuh, maan hadi ostadhath (samia) ameshaanza kucheza kigodoro, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
The charismatic leader, ni YEYE. yajayo yanafurahisha.
We utakuwa Kati ya wanaCCM wachache wenye akili timamu.Wanabodi,
kilichotokea leo huko Musoma kinafikirisha sana,Jukwaa lote kuu la ccm kwenye kampeni limekuwa likisimama kutoa hotuba za Tundu lisu
Tundu lissu sasa anakitoa chama changu ccm kwenye malengo yake ya ilani na kukipeleka yeye atakavyo
Kauli yake kuwa yeye hawezi kukubali kuteuliwa na Mkuu wa nchi na pia yeye Tundu lissu kusema yeye sio kama wale wa jalalani limekuwa mwiba kwa chama changu ccm
Hii kauli imeuma sana na imeumiza sana baadhi ya wana ccm,Leo wazungumzaji wote huko Musoma ni Lissu tu
Je hizi kauli viongozi wa ccm mnazitoa wapi wakati mnasema Tundu lissu hana ushawishi na wala hana wafuasi ,Mlisikiliza wapi hotuba za lissu wakati hazionyeshwi TBC?
Tulishauri sana hapa JF kuwa mnavyozidi kuficha hotuba za lissu zisionyeshwe ndivyo watu wanavyozidi kuzitafuta hotuba zake
Kikubwa ni kujibu hoja zake ,Na hoja zake sio nyingi sana,Uhuru wa habari,Maisha ya watu,Bima ya Afya,Wakulima kuishi kwa kukopwa,Elimu na riba ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo
Kitendo cha leo kwenye kampeni Musoma kuanza kumjibu Tundu lissu sasa ni rasmi mnawafanya hata wasiofuatilia waanze kutafuta hotuba zake
Leo hii Clip za Tundu lissu zinasambaa kwa kasi hasa kuhusu hoja zake ambazo hazijajibiwa,
Mpaka sasa hoja iliyojibiwa ni moja tu ya ajira kwa walimu ambayo serikali imetangaza ajira 13,000
Hoja za ongezeko la mishahara bado
Hoja za uhuru wa vyombo vya habari mfano Tbc kuonyesha mikutano ya chadema bado
Yafuatayo inabidi chama changu iyafanyie kazi
Mosi,Chama kijikite kwenye mambo ya msingi ya watu na siyo vitu,Ni muda wa kuongelea watu maisha yao hasa kipesa,Tundu lissu anatumia hii hoja kutubagaza na kutushambulia sana
Tundu lissu anawaeleza watu kuwa barabara ,Ndege na Reli hazina uhusiano na pesa mifukoni mwao na watu wanaamini kwa maelfu,Hiki ni kipindi cha kuongelea mambo yajayo
Ccm kuendelea kuongelea mambo ya reli,barabara na ndege watu wameyasikia kwa miaka mitano yote,Sasa wanahitaji mambo mapya
Tunapomuongelea Lissu tunazidi kumpa umaarufu zaidi
Je ni kweli sasa tunacheza ngoma ya Tundu lisu?
GUSSIEWanabodi,

Mama sijui nani kamuuliza au jana hakupata usingizi usiku kucha akiwaza zile nondo za Lissu dodoma.Zingine hizi albadir za kipindi anashambuliwa ndio wanaanza kujitaja Mungu sio wa kudhihakiwa
Gussie namjua muda mrefu amekuwa akionya sana.We utakuwa Kati ya wanaCCM wachache wenye akili timamu.
Sasa na nyie mmezanza tena kucheza mziki wa Lissu. Mbona mnaparuana lumumba fc vipi?Kijana unadandia Sana...Leo kauli ya jalalani Niya lissu??au nikujitoa ufahamu tu...nikukumbushe wewe na wengine wote walio jaribu leo kututoa kwenye reli kauli hiyo ya jalalani ilitolewa na waziri Tena mwandamizi kweli Prof😛.KABUDI!Tena akiwa Ikulu mbele ya huyo Amri JESHI mkuu!
Sasa leo mnajisahaulisha mnadai eti lissu kasema lisu kasema!
Mgombea tunaye aiseeInshort CCM wameshapoteana 🤣🤣🤣
Lissu kamatia hapo-hapo
😅😅nyalandu ni bichwa kubwa sema aliharibiwa na ccm. Pale alikuwa anafanya mchezo wa camoufrage tu.Ndio maana walikuwa wanamtaka Nyalandu muoga muoga
Wewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.
Huyu mwamba ni tatizo kubwa mno,mfano jana akiwa Dodoma kuna sehemu ya hotuba yake alikua anarudia rudia kusema ile sentesi tumejenga Standard guage takribani mara mbili au tatu aisee nilicheka sana. TL kaamua kubomoa nyumba na kuchoma materials zote ha ha.Lissu kibokooo jamani
Huyu mwamba ni tatizo kubwa mno,mfano jana akiwa Dodoma kuna sehemu ya hotuba yake alikua anarudia rudia kusema ile sentesi tumejenga Standard guage takribani mara mbili au tatu aisee nilicheka sana. TL kaamua kubomoa nyumba na kuchoma materials zote ha ha.
Nimemsikiliza JPM akiwa Rorya amemtaja Ezekiel Wenje mara 4 akimuombea kura, akamuita Ezekiel atoke mbele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanabodi,
kilichotokea leo huko Musoma kinafikirisha sana,Jukwaa lote kuu la ccm kwenye kampeni limekuwa likisimama kutoa hotuba za Tundu lisu
Tundu lissu sasa anakitoa chama changu ccm kwenye malengo yake ya ilani na kukipeleka yeye atakavyo
Kauli yake kuwa yeye hawezi kukubali kuteuliwa na Mkuu wa nchi na pia yeye Tundu lissu kusema yeye sio kama wale wa jalalani limekuwa mwiba kwa chama changu ccm
Hii kauli imeuma sana na imeumiza sana baadhi ya wana ccm,Leo wazungumzaji wote huko Musoma ni Lissu tu
Je hizi kauli viongozi wa ccm mnazitoa wapi wakati mnasema Tundu lissu hana ushawishi na wala hana wafuasi ,Mlisikiliza wapi hotuba za lissu wakati hazionyeshwi TBC?
Tulishauri sana hapa JF kuwa mnavyozidi kuficha hotuba za lissu zisionyeshwe ndivyo watu wanavyozidi kuzitafuta hotuba zake
Kikubwa ni kujibu hoja zake ,Na hoja zake sio nyingi sana,Uhuru wa habari,Maisha ya watu,Bima ya Afya,Wakulima kuishi kwa kukopwa,Elimu na riba ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo
Kitendo cha leo kwenye kampeni Musoma kuanza kumjibu Tundu lissu sasa ni rasmi mnawafanya hata wasiofuatilia waanze kutafuta hotuba zake
Leo hii Clip za Tundu lissu zinasambaa kwa kasi hasa kuhusu hoja zake ambazo hazijajibiwa,
Mpaka sasa hoja iliyojibiwa ni moja tu ya ajira kwa walimu ambayo serikali imetangaza ajira 13,000
Hoja za ongezeko la mishahara bado
Hoja za uhuru wa vyombo vya habari mfano Tbc kuonyesha mikutano ya chadema bado
Yafuatayo inabidi chama changu iyafanyie kazi
Mosi,Chama kijikite kwenye mambo ya msingi ya watu na siyo vitu,Ni muda wa kuongelea watu maisha yao hasa kipesa,Tundu lissu anatumia hii hoja kutubagaza na kutushambulia sana
Tundu lissu anawaeleza watu kuwa barabara ,Ndege na Reli hazina uhusiano na pesa mifukoni mwao na watu wanaamini kwa maelfu,Hiki ni kipindi cha kuongelea mambo yajayo
Ccm kuendelea kuongelea mambo ya reli,barabara na ndege watu wameyasikia kwa miaka mitano yote,Sasa wanahitaji mambo mapya
Tunapomuongelea Lissu tunazidi kumpa umaarufu zaidi
Je ni kweli sasa tunacheza ngoma ya Tundu lisu?
Nimemsikiliza JPM akiwa Rorya amemtaja Ezekiel Wenje mara 4 akimuombea kura, akamuita Ezekiel atoke mbele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kijana unadandia Sana...Leo kauli ya jalalani Niya lissu??au nikujitoa ufahamu tu...nikukumbushe wewe na wengine wote walio jaribu leo kututoa kwenye reli kauli hiyo ya jalalani ilitolewa na waziri Tena mwandamizi kweli Prof😛.KABUDI!Tena akiwa Ikulu mbele ya huyo Amri JESHI mkuu!
Sasa leo mnajisahaulisha mnadai eti lissu kasema lisu kasema!
Kwa Lissu..Ukisimama Nchale...Ukikimbia NchaleWanabodi,
kilichotokea leo huko Musoma kinafikirisha sana,Jukwaa lote kuu la ccm kwenye kampeni limekuwa likisimama kutoa hotuba za Tundu lisu
Tundu lissu sasa anakitoa chama changu ccm kwenye malengo yake ya ilani na kukipeleka yeye atakavyo
Kauli yake kuwa yeye hawezi kukubali kuteuliwa na Mkuu wa nchi na pia yeye Tundu lissu kusema yeye sio kama wale wa jalalani limekuwa mwiba kwa chama changu ccm
Hii kauli imeuma sana na imeumiza sana baadhi ya wana ccm,Leo wazungumzaji wote huko Musoma ni Lissu tu
Je hizi kauli viongozi wa ccm mnazitoa wapi wakati mnasema Tundu lissu hana ushawishi na wala hana wafuasi ,Mlisikiliza wapi hotuba za lissu wakati hazionyeshwi TBC?
Tulishauri sana hapa JF kuwa mnavyozidi kuficha hotuba za lissu zisionyeshwe ndivyo watu wanavyozidi kuzitafuta hotuba zake
Kikubwa ni kujibu hoja zake ,Na hoja zake sio nyingi sana,Uhuru wa habari,Maisha ya watu,Bima ya Afya,Wakulima kuishi kwa kukopwa,Elimu na riba ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo
Kitendo cha leo kwenye kampeni Musoma kuanza kumjibu Tundu lissu sasa ni rasmi mnawafanya hata wasiofuatilia waanze kutafuta hotuba zake
Leo hii Clip za Tundu lissu zinasambaa kwa kasi hasa kuhusu hoja zake ambazo hazijajibiwa,
Mpaka sasa hoja iliyojibiwa ni moja tu ya ajira kwa walimu ambayo serikali imetangaza ajira 13,000
Hoja za ongezeko la mishahara bado
Hoja za uhuru wa vyombo vya habari mfano Tbc kuonyesha mikutano ya chadema bado
Yafuatayo inabidi chama changu iyafanyie kazi
Mosi,Chama kijikite kwenye mambo ya msingi ya watu na siyo vitu,Ni muda wa kuongelea watu maisha yao hasa kipesa,Tundu lissu anatumia hii hoja kutubagaza na kutushambulia sana
Tundu lissu anawaeleza watu kuwa barabara ,Ndege na Reli hazina uhusiano na pesa mifukoni mwao na watu wanaamini kwa maelfu,Hiki ni kipindi cha kuongelea mambo yajayo
Ccm kuendelea kuongelea mambo ya reli,barabara na ndege watu wameyasikia kwa miaka mitano yote,Sasa wanahitaji mambo mapya
Tunapomuongelea Lissu tunazidi kumpa umaarufu zaidi
Je ni kweli sasa tunacheza ngoma ya Tundu lisu?
Sasa hivi bado tu unamuita magufuli eti ni Rais?Wewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.
Mahakamani kufata nini?Muuaji mkuu aperekwi mahakamani!Nendeni mahakamani sasa. Mnalalamika kama binti anatolewa bikra.