Uchaguzi 2020 CCM msimjibu Tundu Lissu, Mnavyomjibu ndio anazidi kuongea mengi

Kijana unandia Sana...Leo kauli ya jalalani Niya lissu??au nikujitoa ufahamu tu...nikukumbushe wewe na wengine wote walio jaribu leo kututoa kwenye reli kauli hiyo ya jalalani ilitolewa na waziri Tena mwandamizi kweli Prof😛.KABUDI!Tena akiwa Ikulu mbele ya huyo Amri JESHI mkuu!
Sasa leo mnajisahaulisha mnadai eti lissu kasema lisu kasema!
Magufuli alitarajia nini kusema atampa kazi ndogo ndogo Lissu.? Jibu limekuwa sahihi kwa wakati muafaka sasa hivi wanajaribu kuhamisha magoli wakati mpira tayati upo nyavuni kule anakotagia kware.
 
Wanabodi,
kilichotokea leo huko Musoma kinafikirisha sana,Jukwaa lote kuu la ccm kwenye kampeni limekuwa likisimama kutoa hotuba za Tundu lisu

Tundu lissu sasa anakitoa chama changu ccm kwenye malengo yake ya ilani na kukipeleka yeye atakavyo

Kauli yake kuwa yeye hawezi kukubali kuteuliwa na Mkuu wa nchi na pia yeye Tundu lissu kusema yeye sio kama wale wa jalalani limekuwa mwiba kwa chama changu ccm

Hii kauli imeuma sana na imeumiza sana baadhi ya wana ccm,Leo wazungumzaji wote huko Musoma ni Lissu tu

Je hizi kauli viongozi wa ccm mnazitoa wapi wakati mnasema Tundu lissu hana ushawishi na wala hana wafuasi ,Mlisikiliza wapi hotuba za lissu wakati hazionyeshwi TBC?

Tulishauri sana hapa JF kuwa mnavyozidi kuficha hotuba za lissu zisionyeshwe ndivyo watu wanavyozidi kuzitafuta hotuba zake

Kikubwa ni kujibu hoja zake ,Na hoja zake sio nyingi sana,Uhuru wa habari,Maisha ya watu,Bima ya Afya,Wakulima kuishi kwa kukopwa,Elimu na riba ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo

Kitendo cha leo kwenye kampeni Musoma kuanza kumjibu Tundu lissu sasa ni rasmi mnawafanya hata wasiofuatilia waanze kutafuta hotuba zake

Leo hii Clip za Tundu lissu zinasambaa kwa kasi hasa kuhusu hoja zake ambazo hazijajibiwa,

Mpaka sasa hoja iliyojibiwa ni moja tu ya ajira kwa walimu ambayo serikali imetangaza ajira 13,000

Hoja za ongezeko la mishahara bado

Hoja za uhuru wa vyombo vya habari mfano Tbc kuonyesha mikutano ya chadema bado

Yafuatayo inabidi chama changu iyafanyie kazi

Mosi,Chama kijikite kwenye mambo ya msingi ya watu na siyo vitu,Ni muda wa kuongelea watu maisha yao hasa kipesa,Tundu lissu anatumia hii hoja kutubagaza na kutushambulia sana

Tundu lissu anawaeleza watu kuwa barabara ,Ndege na Reli hazina uhusiano na pesa mifukoni mwao na watu wanaamini kwa maelfu,Hiki ni kipindi cha kuongelea mambo yajayo

Ccm kuendelea kuongelea mambo ya reli,barabara na ndege watu wameyasikia kwa miaka mitano yote,Sasa wanahitaji mambo mapya

Tunapomuongelea Lissu tunazidi kumpa umaarufu zaidi

Je ni kweli sasa tunacheza ngoma ya Tundu lisu?
CCM ikinyamaza nongwa, ikijibu nongwa lipi ni lipi?
 
Usiogope Lissu Sio MTANZANIA kwa hiyo ni Mpiga Kelele anEjifurahisha NILISEMA JANA TANZANIA SIO NCHI YA WAPUMBAVU NA MAGUFURI NI MOJA YA WATU WENYE AKILI Anajua nini anafanya
 
Salamu zatumwa kwa kampeni za fiesta za CCM Mpya Uchaguzi Mkuu 2020

Nondo TUPU! 👊🏽👊🏽👊🏽

GUSSIE,

..labda hukusikiliza alichoongea Tundu Lissu jana akiwa Dodoma.

..Ungesikiliza ungeelewa kwanini ghafla bin vu kila mwana-ccm anayefungua kinywa chake anamtaja Tundu Lissu.

..sikiliza hotuba ya Tundu Lissu hapa chini.

Usiogope Lissu Sio MTANZANIA kwa hiyo ni Mpiga Kelele anEjifurahisha NILISEMA JANA TANZANIA SIO NCHI YA WAPUMBAVU NA MAGUFURI NI MOJA YA WATU WENYE AKILI Anajua nini anafanya
Kama unamuona Magufuli ni mmoja wa watu wenye akili basi wewe utakuwa kilaza sana
 
Mwenye akili hawezi kujiita KICHAA au KUROPOKA haya.

Usiogope Lissu Sio MTANZANIA kwa hiyo ni Mpiga Kelele anEjifurahisha NILISEMA JANA TANZANIA SIO NCHI YA WAPUMBAVU NA MAGUFURI NI MOJA YA WATU WENYE AKILI Anajua nini anafanya
 
Kuhusu jalalani muulize kabudi.... Kuhusu risasi rejea figisu mlizomfanyia na bado mkuu wa nyumba yupo kimya as if yule aliyemiminiwa risasi alikuwa mnyama wa porini
Wewe acha upuuzi wako. Mtu anasema rais alitoa amri apigwe risasi. Mtu anasema awape kazi wa jalalani. We unadhani ni lugha nzuri. Kumbuka JPM ni Amiri jeshi mkuu.
 
Ni kweli kabisa kwani watu wanahitaji ahadi zenye mashiko sio mambo ya Lisu. Lisu tumwache anadi sera za chama cheke tukiendelea kumzunguzia tunaonekana kama hatukujiandaa kuingia ktk kampeni za uchaguzi
Kwani mlijiandaa !
 
Ccm ni chama cha washamba na malimbukeni
 
Lissu kibokooo jamani
Hapati hata 15% mtaniambia Maana Wanaomsapoti Lissu wengi Wahunii Mishen Town na wapenda njia ya mkato maishani Mara nyingi Hawa huwa hawajiandikish kupiga kura ndio Maana Lisu haiendi sehemu nyingine zaidi ya mijini Kwa wapiga kura yeye anatafuta nyomi LA kwenda kuombea hela kwa mabepati
 
Back
Top Bottom